Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #181
ππ hupitwi!πΉπΉπΉ Baridi kali Marry?
Unauhakika? πKushindania nini mkuu wakati mwanamke ni wangu tayari?
Mchukue hata kaclip kafupi basi tuone jamani πΉπΉππ hupitwi!
Ahsante,Marry Diana nimeona vile dhamira yako ni ya dhati kwa Kijana Masikini lakini naomba ufikirie tena juu ya uamuzi wako.
Nimevutiwa vile hauko after money na unachohitaji ni upendo ili uweze kupata amani ya moyo, umbali uliopo baina yako na huyu kijana hautakupa amani unayoitaka.
Marry Diana nimeona vile dhamira yako ni ya dhati kwa Kijana Masikini lakini naomba ufikirie tena juu ya uamuzi wako.
Nimevutiwa vile hauko after money na unachohitaji ni upendo ili uweze kupata amani ya moyo, umbali uliopo baina yako na huyu kijana hautakupa amani unayoitaka.
Raisi Intelligent businessman kijana wako kaisha anza kazi tayariππMarry Diana nimeona vile dhamira yako ni ya dhati kwa Kijana Masikini lakini naomba ufikirie tena juu ya uamuzi wako.
Nimevutiwa vile hauko after money na unachohitaji ni upendo ili uweze kupata amani ya moyo, umbali uliopo baina yako na huyu kijana hautakupa amani unayoitaka.
We Acha tu uzalendo wanishindaπΉπΉπΉ Baridi kali Marry?
πΉπΉπΉ Baridi kali Marry?
Kwanini usifikirie upya juu ya uamuzi wako?Ahsante,
Japo kuna namna nahisi hayupo serious, ila muda ni mwalimu mzuri
πππππ sawa mkuu Tanzania ni nchi huru, kikubwa ni kwamba huvunji sheria.Natabiri hii couple yenu haivuki July, NATABIRI.
Hebu fafanua vizuri, nifikirie upya kivipi?Kwanini usifikirie upya juu ya uamuzi wako?
Upendo ni baina ya watu wawili wenye ukaribu kihisia, sikatai kuwa hata upendo wa mbali pia upo lakini nguvu yake ni ndogo kiasi cha kuvuruga amani iliyopo moyoni.
Alitakiwa aongeze nguvu kurudisha heshima yake ya ukwasiHatuwezi mpa kiti kijana anaeshughulishwa na mapenzi, hatoweza kutusaidia matatizo yetu huyu.
Mkuu huna budi kumwita shemeji unafanyaje sasa!Kama ni huyo kwenye ushemeji nitoe mkuu.
Wewe utakuwa wangapiMarry usipokuwa makini tutakugonga wote humu JF. Wewe shoboka tu
Kidumu chama cha jobless pro max, kataa ndoa, na chaputa.sawa mkuu Tanzania ni nchi huru, kikubwa ni kwamba huvunji sheria.
Oya acha zako πππΉπΉπΉ Baridi kali Marry?
ππ¨Marry Diana nimeona vile dhamira yako ni ya dhati kwa Kijana Masikini lakini naomba ufikirie tena juu ya uamuzi wako.
Nimevutiwa vile hauko after money na unachohitaji ni upendo ili uweze kupata amani ya moyo, umbali uliopo baina yako na huyu kijana hautakupa amani unayoitaka.
Sidhani kama ni kijana sahihi na kwa mtazamo sahihi ni kwamba unahitaji mtu wa karibu ambaye atakuwa kimbilio lako wakati wote na saa yoyote utakayomuhitaji.Hebu fafanua vizuri, nifikirie upya kivipi?
Kwa kijana masikini si chaguo sahihi?
Yuko vizuri πRaisi Intelligent businessman kijana wako kaisha anza kazi tayariππ
Asante sana π€£π€£Nipo tayari kuwaletea zawadi ya jogoo mtakapoleta kifaranga hapa duniani.