Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

Ndio maana ndoa hazidumu, cheki zinavyopigwa vita, soma comments uone. Mnang'ang'aniaje watu waliooa wakati ambao hawajaoa wapo kibao tu si muwe marafiki na hao?

Ya"ll clingy ASF! Takieni watu heri na mtafute marafiki zenu wengine 😂
Yaani ndoa ikutenganishe na marafiki??

Unaonaje kama tungeishi hivyo; mwalimu awe na marafiki waalimu tu, mbunge kwa wabunge wenzie tu, jobless kwa majobless wenzake, nk.
Unaonaje hapo?
 
Aloo! [emoji1666]Siku hizi upo free!! Niliona uko banned nikajiuliza huyu nae kafanyaje tena??!

Ulichosema ni kweli, kuna watu wakioa wanaona wamemaliza kazi, kumbe ndio imeanza [emoji3]
Ni kweli nilikaa jela ya jf kwa muda kidogo nilienda tofauti na mihiko ya jukwaa .

Ila ndiyo vile eti uoe alafu umuone Juma kiduku sio mwana wakati kabla ya hapo mlibang wote lazima tukufikilie mara mbili.
 
Pole mkuu
 
Kiukweli uhuru alokuwa nao rafiki yako huwa unaisha ama kupungua kwa kasi ya 5G, hii ni kutokana na mambo mengi na hata mengine hatokwambia kiuwazi kwamba mkewe hapendi sana company alizokuwa nazo awali
 
Kumbe mnahamasishanaga sababu mnakua hamjapata mtu sahihi[emoji846]
 
Yaani ndoa ikutenganishe na marafiki??

Unaonaje kama tungeishi hivyo; mwalimu awe na marafiki waalimu tu, mbunge kwa wabunge wenzie tu, jobless kwa majobless wenzake, nk.
Unaonaje hapo?
Mkuu ebu kwanza tuachane na mimi mwanao Jamal nipe michongo ya kazi mkuu
 
Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti!

Rafiki zangu vipii!😅 Simu tu siku hizi hautupigiani
Wamekuwa watu wazima hivyo wako na watu wazima wenzao
 
Huwezi kujua changamoto gani anapitia jipe muda panapostahili kumsaidia wewe msaidie play part yako.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Rafiki na muhuni haufai... Jamaa yangu alioa. Tukiwa tunakula vitu bar. Ikifika tu saa nne anaanza heka heka. Oooh tuondoke. Kiukweli nikaanza kumuona kero..

Ikafika kipindi nikaanza kumkwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…