Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti!

Rafiki zangu vipii!πŸ˜… Simu tu siku hizi hautupigiani
🎢 ..Blue vipi mbona sikusikii tena?
sikusikii ukiflow mbona sikusikii ukisema?
niko bize na baby jamani nishasema

(niko bize na wife jamani nishasema)... 🎢
 

Attachments

  • Screenshot_20231120_132607.jpg
    77.8 KB · Views: 2

Tupo hapa!!!!

Tumewaona wengi sana kama wewe lakini...
 
Hii sio ndoa yangu ya kwanza mkuu

Ukiachilia mbali mahusiano niliyopitia Yana heka heka za kila aina

Ila huyu nimemkuta Bikra hana makando kando kama mimi na niliyoanza nao

Oya kumkuta bikra isiwe kigezo cha kumuona malaika.

Kuna mtani wangu alioa bikra, yaani wiki nzima jamaa akitomba mtaa mzima tunasikia makelele, baada ya miaka kadhaa Oya wahuni wapimchakaza mke wa jamaa hadi ndoa kufa.

Usioneshe ulimbukeni mkuu, bora ukae kimya.

TUKO HAPA
 
Hongera mkuu Mungu awabariki mfike mbali.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Daah!! jamali mtu poa sana
 
Basi jamal ni mtu

Nyakati hubadilika tu.
 
Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti!

Rafiki zangu vipii!πŸ˜… Simu tu siku hizi hautupigiani
Hujui kama maisha ya binadam yana dhama 4.
Dhama ya utoto
Dhama ya ujana
Dhama ya familia
Dhamaya uzee

Sasa wewe unataka kila dhama uwe na watu haohao haiwezekani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…