Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwamba hawa wanawake wa kibongo wanaofatilia JiA wanaweza kubishana kwa hoja,hapo unamkuta 1 kati ya 100Uko sahihi, mwanamke anatakiwa awe best friend.
Best friend ni mtu ambae mnaendana kwny mambo mengi, mkitaka kuidis stoicism mnaidis tu.
Mwanamke ambae hamuwezi kubishana kwa hoja anaboa.
Anakuwa na kazi ya kufanya usafi tu na kupanua mapaja. Ukimaliza hapo unaanza kutafuta watu wa kujadili nao ligi ya uingereza!
Inapaswa kutumia akili hili aone faida za wewe kumcontrol yeye...control ni kitu kizuri
ila tunazidi sana
Inawezekana, lakini tatizo unakuta mwanaume mwenyewe ni kilaza, sasa vilaza wakiungana si majanga hayo kwa familia na taifa.Unajua wengi wanapenda wapate wanawake wakuwaendesha na sio life partner 🤔
Huyu mlimbwende ashachanganyikiwaFaizaFoxy amekuwa brainwashed na dini mpaka amegeuka kituko, hizo sio akili.
Unaishi sayari ya Mars? Huoni kina Jeff Bezos na matajiri wengine wanavyolia baada ya talaka. Kamwe mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume. Mwanamke ni dhaifu kwa asili. Kulikuwa na wanawake wangapi waliokuwa wanaokoa watu Kkoo? Suala la mwanamke kuwa chini ya mwanaume ni la asili na sio kwamba kuna uonevu. Sisi watu wa riadha tuna ushahidi usiotia shaka. Kwenye marathon mwanamke hata afanye mazoezi kiasi gani na hata awe na kipaji kiasi gani hawezi ingia top ten kama matokeo yakichanganywa pamoja na ya wanaume.Tofauti Yako na Mwanamke ni jinsia tu but the rest mnalingana tu.. Women are not that weak and inferior my friend hii dogma ndo imesababisha wanaume kuteseka tangu Dunia imewekwa misingi yake. Women should be treated equally and act so
We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu??
Ifikie mahala wote tule Kwa jasho bila kujali jinsia ya mtu
Ukija mtaani kwetu majority ni women ndo bread winner wa familia and they are doing a great job at it... Open your eyes and see
I like that.Nina wangu aliniuliza hizo bomu zinazo pigwa Hamas kuna siku hazitafika Dar es salaam?.....nika mjibu usijali mke wangu ziko mbali sana, kauliza ubali kutoka hapa mpaka kupita Morogoro nika muambia ndiyo, akaendelea na kazi zake za ku pika simple like that. [emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kwann unasema ivo Mkuu. Nna mke na tunapenda sana. Ana akili kiasi na sio mjuaji sana. Ni maoni yangu Tu kwamba mke akiwa mjuaji sana ndani hamtaelewana. Mwangalie mke wa Billgate na wanawake wote wenye akili nyingi.Anaogopa maisha tu huyo.
Nipunguze ninUpunguze
Kuna mmama ni shabiki wa simba kindakindaki..Ni kweli
Unakuta anakupangia hadi lineup ya kikosi cha Simba kilichomtoa Zamalek mwaka 2003 pamoja na subs zake.
Na hali huwa mbaya zaidi kama akiwa ni mkosoaji.
Nyie mafukara wambea ndio mnaolia na kuwaonea wivu hao wake wa matajiri, kina Jeff Bezos, Bill Gates na wengine wala hawajawahi kulia au kulalamika wake zao kuchukua kidogo katika ukwasi wao.Unaishi sayari ya Mars? Huoni kina Jeff Bezos na matajiri wengine wanavyolia baada ya talaka.
Akili zake passionate yote anaiweka kwa ndoa na mme wake tu, mpaka anajua una boxer na rangi zake ziko ngapi ipi imetoboka, ipi utava leo nk. Sio mke wa kukuambia CCM imeshinda viti vingapi na chadema vingapi kweli wife material atawezaje kuchambua vita ya Ukurain na Russia?I like that.
Yaani mwanamke wa kumwoa ni yule ambaye anaamini kuwa mwishonwa dunia ni pale jicho lake lilipoishia upande wa mashariki, magharibi, kusini na kaskazini.
Hiyo kuogopa kuwa hamtaelewana ndiyo kuogopa maisha kwenyewe huko.Kwann unasema ivo Mkuu. Nna mke na tunapenda sana. Ana akili kiasi na sio mjuaji sana. Ni maoni yangu Tu kwamba mke akiwa mjuaji sana ndani hamtaelewana. Mwangalie mke wa Billgate na wanawake wote wenye akili nyingi.
Kabisa wa hivyo hana ushawishi kabisaMwanangu upo kama mimi jembe langu Yan sipend demu wa "ndio " au yule wa ", niambie" afu unakuta amekuchek yeye
Kumbe wew upo upande upi???Ila wanaume wengi wanapenda wanawake vilaza na wasio na ambitions zozote kubwa.
huyo ni mke ama google assistant?🤣Akili zake passionate yote anaiweka kwa ndoa na mme wake tu, mpaka anajua una boxer na rangi zake ziko ngapi ipi imetoboka, ipi utava leo nk. Sio mke wa kukuambia CCM imeshinda viti vingapi na chadema vingapi kweli wife material atawezaje kuchambua vita ya Ukurain na Russia?
Sasa itv anangalia nn au matangazo ya kivo cha wachaga au habari za saa wala husema CNN au RT documentaries na hardback mm naona sample ni yule anaekwambia sioni umuhimu wa vikoba naweka ela zangu nina mipango ya A BC ukiona unamke ety hawez kuanalysis priority kutwa ana haribu muda kwa vikoba hapo huna mke vice versa always positiveSasa huu ni uchokozi, wivu wa kijinga, kutafuta ugomvi.
Hii haihusiani na kuwa na upeo.
Nilikuwa na mpenzi IQ sifuri lakini ukisinzia tu lazima akomae kusachi simu.
Mimi simu ya mke au mpenzi siwezi kukaa naichunguza labda niwe nina sababu maalumu.
Sijapigwa na chochote Mkuu. Niko na amani na furaha na Ndoa yangu. Na hayo ndio niliyoyashuhudia baada ya kukutana na mwanamke asiyemjuaji.pole ndo ilivyo baada ya kupigwa na kitukizito ndoani