Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Uko sahihi, mwanamke anatakiwa awe best friend.

Best friend ni mtu ambae mnaendana kwny mambo mengi, mkitaka kuidis stoicism mnaidis tu.

Mwanamke ambae hamuwezi kubishana kwa hoja anaboa.

Anakuwa na kazi ya kufanya usafi tu na kupanua mapaja. Ukimaliza hapo unaanza kutafuta watu wa kujadili nao ligi ya uingereza!
Kwamba hawa wanawake wa kibongo wanaofatilia JiA wanaweza kubishana kwa hoja,hapo unamkuta 1 kati ya 100
 
Tofauti Yako na Mwanamke ni jinsia tu but the rest mnalingana tu.. Women are not that weak and inferior my friend hii dogma ndo imesababisha wanaume kuteseka tangu Dunia imewekwa misingi yake. Women should be treated equally and act so
We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu??
Ifikie mahala wote tule Kwa jasho bila kujali jinsia ya mtu
Ukija mtaani kwetu majority ni women ndo bread winner wa familia and they are doing a great job at it... Open your eyes and see
Unaishi sayari ya Mars? Huoni kina Jeff Bezos na matajiri wengine wanavyolia baada ya talaka. Kamwe mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume. Mwanamke ni dhaifu kwa asili. Kulikuwa na wanawake wangapi waliokuwa wanaokoa watu Kkoo? Suala la mwanamke kuwa chini ya mwanaume ni la asili na sio kwamba kuna uonevu. Sisi watu wa riadha tuna ushahidi usiotia shaka. Kwenye marathon mwanamke hata afanye mazoezi kiasi gani na hata awe na kipaji kiasi gani hawezi ingia top ten kama matokeo yakichanganywa pamoja na ya wanaume.
 
Nina wangu aliniuliza hizo bomu zinazo pigwa Hamas kuna siku hazitafika Dar es salaam?.....nika mjibu usijali mke wangu ziko mbali sana, kauliza ubali kutoka hapa mpaka kupita Morogoro nika muambia ndiyo, akaendelea na kazi zake za ku pika simple like that. [emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
I like that.
Yaani mwanamke wa kumwoa ni yule ambaye anaamini kuwa mwishonwa dunia ni pale jicho lake lilipoishia upande wa mashariki, magharibi, kusini na kaskazini.
 
Oa mwanamke mwenye akili fresh tu ila hajui kingereza... Utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja🤔
Sabb source kuu ya mtu kuwa updated kwenye maswala ya technology na vitu vikubwa huko Dunian huwa n uwezo wa kuinteract direct na habari 🤝
Kwa Dunia ya leo English inatumika kila kona.... Kwahyo mtu ambaye English ni mtupu kabisa Kuna namna anakuwa nyuma kidogo na kasi ya dunia!!

Mfano mzuri ukikagua simu za watu ambao lugha kwao haipandi kabisa... Apps zao huwa sana ni WhatsApp, Facebook na Instagram
Achana kabisa na hawa degree zinazozurula mtaan we chukua zako form 4 kurudi chini.. Tena walosoma government nje ya mji huko
hahaha hakikisha mke mkitizama movie HD wewe ndo uwe mtafsiri wake!!
Japo hii sio solution 💯, ila itasaidia kidogo kupunguza tatizo
 
Unaishi sayari ya Mars? Huoni kina Jeff Bezos na matajiri wengine wanavyolia baada ya talaka.
Nyie mafukara wambea ndio mnaolia na kuwaonea wivu hao wake wa matajiri, kina Jeff Bezos, Bill Gates na wengine wala hawajawahi kulia au kulalamika wake zao kuchukua kidogo katika ukwasi wao.
 
I like that.
Yaani mwanamke wa kumwoa ni yule ambaye anaamini kuwa mwishonwa dunia ni pale jicho lake lilipoishia upande wa mashariki, magharibi, kusini na kaskazini.
Akili zake passionate yote anaiweka kwa ndoa na mme wake tu, mpaka anajua una boxer na rangi zake ziko ngapi ipi imetoboka, ipi utava leo nk. Sio mke wa kukuambia CCM imeshinda viti vingapi na chadema vingapi kweli wife material atawezaje kuchambua vita ya Ukurain na Russia?
 
Kwann unasema ivo Mkuu. Nna mke na tunapenda sana. Ana akili kiasi na sio mjuaji sana. Ni maoni yangu Tu kwamba mke akiwa mjuaji sana ndani hamtaelewana. Mwangalie mke wa Billgate na wanawake wote wenye akili nyingi.
Hiyo kuogopa kuwa hamtaelewana ndiyo kuogopa maisha kwenyewe huko.

Kwa nini huoni kuwa mke mwenye akiki nyingi ndiye atakupa challenge ya wewe hata kujiendeleza zaidi?

Yani ukizubaa kidogo mara mke kakupa mipango ya kuweka vitegauchumi kwenye stock market, mara kwenye crypto currency.

Unaogopa maisha tu.
 
Akili zake passionate yote anaiweka kwa ndoa na mme wake tu, mpaka anajua una boxer na rangi zake ziko ngapi ipi imetoboka, ipi utava leo nk. Sio mke wa kukuambia CCM imeshinda viti vingapi na chadema vingapi kweli wife material atawezaje kuchambua vita ya Ukurain na Russia?
huyo ni mke ama google assistant?🤣
 
Sasa huu ni uchokozi, wivu wa kijinga, kutafuta ugomvi.

Hii haihusiani na kuwa na upeo.
Nilikuwa na mpenzi IQ sifuri lakini ukisinzia tu lazima akomae kusachi simu.

Mimi simu ya mke au mpenzi siwezi kukaa naichunguza labda niwe nina sababu maalumu.
Sasa itv anangalia nn au matangazo ya kivo cha wachaga au habari za saa wala husema CNN au RT documentaries na hardback mm naona sample ni yule anaekwambia sioni umuhimu wa vikoba naweka ela zangu nina mipango ya A BC ukiona unamke ety hawez kuanalysis priority kutwa ana haribu muda kwa vikoba hapo huna mke vice versa always positive
 
Back
Top Bottom