Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Anayeogopa mke mwenye akili anaogpa changamoto atakazozipata kuishi naye .

Anayeogopa mke asiye na akili viyi hivyo anaogopa changamoto za kuishi na watoto wajinga wajinga.

Kuna asiyeogopa maisha hapo?
Kwa falsafa zako hata anayejirusha ghorofani afe anaweza kuwa hayaogopi maisha.
 
Anayeogopa mke mwenye akili anaogpa changamoto atakazozipata kuishi naye .

Anayeogopa mke asiye na akili viyi hivyo anaogopa changamoto za kuishi na watoto wajinga wajinga.

Kuna asiyeogopa maisha hapo? Yote ni sehemu ya maisha siyo?
Changamoto gani unaweza kuzipitia kwa kuishi na mke mwenye akili??
 
Mwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazoπŸ€”πŸ€”πŸ€”

Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kituπŸ˜‚
Hapo unakuwa umeoa au kakuoa?
 
Kwa falsafa zako hata anayejirusha ghorofani afe anaweza kuwa hayaogopi maisha.
To stay on point, just because mtu anakwepa kuwa continuously, unnecessarily and relentlessly challenged by his wife - from whom he wants only sex, food and peace - haimaanishi anaogopa maisha.

Is he choosing the path of least resistance? Absolutely. But he has the rightto live life at his own pace. Do not deny him that right by assigning such a label.
 
Hakuna popote niliposema mtu awe continuously, unnecessarily and relentlessly challended by his wife.

In fact, mwanamke mwenye akili ni yule anayejua ku challenge just right bila ya kuwa ana challenge continuously, unnecessarily and relentlessly.

Kwa hivyo, ukitaka mwanamke asiye na akili ndiyo unataka huyo anaye challenge continuously, unnecessarily and relentlessly.

This is a logical fallacy.

A stawman argument logical fallacy.

You are adding something I did not say, and then you are attacking that which you added yourself.
 
Mwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazoπŸ€”πŸ€”πŸ€”

Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kituπŸ˜‚
I love smart people wanakufanya ufikirie pia sio wanaopokea tu,ukimuachia laki unakuta ameizalisha au amefanya kitu mpk mwenyewe unajiuliza hapa nimepata mtu,smart women hutaona shida kumuachia hela ya maana kwakua unajua ipo mikono salama wkt ww unatafuta nyingine,na hata akitumia hutaona tabu,I love such kind of people
 
Katika wote walioelewa uzi wewe ni no moja. Yaani ata me nimeelewa zaid. Unalozungumza ndio nilitaka kulizungumzia. "A female must posses femine characters" asa kuna watu wamekazana unaogopa maisha unaogopa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…