Mkuu ni ngumu kidogo kujibu hili
Lakini wanawake mara nyingi wanapenda kujadili mambo very general yanayotokea kila siku kwenye maisha yao
Mfano mzuri ni hapa JF
Hebu nenda jukwaa la Tech, Intelligent, GT, Dini, ni nadra sana kukuta wadada wanachangia
Humu utakutana na vidume vinaparangana
Lakini nenda Chit Chat, celebrity, habari mchanganyiko nk utawakuta wanawake wameweka kambi huko
Uzi mmoja unaweza kuta mdada comments replay kama 50 hivi lakini comments zenyewe nusu ni emoji na zingine ni sentensi zisizo zidi 3