Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Anayaogopa maisha kwa sababu ana narrow mindset ya kuona mwanamke mwenye akili ni yule anaye challenge relentlessly, unnecessarily, continuosly wakati huyo ni mwanamke asiye na akili.

Akipqnua mindset yake anaweza kuona kuna mambo alikuwa anayaogopa bure tu.
I see it more as a misintepretation or misrepresentation issue rather than uwoga wa maisha
 
Kunatofauti kati ya mwanamke na mwanaume kila mmoja ana hulka zake

Hapa tatizo sio AKILI KUBWA bali ni mwanamke kutokua na hulka za kike na kuwa na hulka za kiume
Ni nadra sana kukuta wanawake wamekaa wenyewe wanajadili vita vya Gaza au Ukraine au wanajadili teknolojia mpya ya screen za tv au simu..... lakini haya ndio mazungumzo ya wanaume
Wanawake wakiwa wamekaa wenyewe huwa wanajadili mambo gani mara nyingi?
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.

Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.

Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.

Mwanamke anajua kuhack sms/calls.

Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.

Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.

Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.

Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.

Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.

"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Ukiona hivyo juwa una akili za kitoto. Wanasema hamuendani low brain hata yeye anakushanga
 
Kunatofauti kati ya mwanamke na mwanaume kila mmoja ana hulka zake

Hapa tatizo sio AKILI KUBWA bali ni mwanamke kutokua na hulka za kike na kuwa na hulka za kiume

Wapo wanawake wana akili kweli kweli lakini bado wana hulka za kike
Na kuna wanawake hawana akili lakini lina hulka za kiume...... unakuta kazungukwa na wanaume wanabishana simba ya ngapa hadi ushangaa, simu anajua hadi ku root afiche mafile, social media zote anazo na maparody kibao
Just imagine kila siku yeye ndio anatoa style mpya kunako 6x6 😂😂😂😂
Sasa hivi kwenye mpira kuna marefa wa kike na wachambuzi wa wa mpira wa kike sasa nini cha ajabu wanawake kubishania kuhusu Simba na Yanga??
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.

Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.

Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.

Mwanamke anajua kuhack sms/calls.

Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.

Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.

Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.

Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.

Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.

"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Mwanamke bogazi sitaki
 
I see it more as a misintepretation or misrepresentation issue rather than uwoga wa maisha
Ni hivi.

Mwanamme anayeogopa mwanamke mwenye akili ni mwanamme anayetaka yeye tu kuwa juu bila challenge yoyote, ya maana au isiyo na maana.

Ni mwanamme asiyejiamini. Ni mwanamme dhaifu.

Anataka hata akikalia kuti kavu, mke wake asimwambia "Mume wangu hapo umekalia kuti kavu, utaanguka".

Mwanamme kushauriana na mke ni jambo la kawaida katika maisha.

Mwanamme anayeogopa mwanamke mwenye akili kwa sababu ya kuogopa mawazo ya mwanamke ni mwanamme anayeogopa maisha.
 
Mm wangu ananimbia hawezi ni nyonya dushe langu ndio chanzo cha kanzaa Nimeshindwa kbsa kumshawishi had sas nitoke nnje nikapate hyo huduma, nataka nitafute padri atutudishe kwenye somo la ndoa na jins ya kupeana na mpenzi wako
 
Ignorance na ushamba sio mojawapo ya femine characters mkuu.
Ignorance na ushamba unazungumzia wewe sio sifa ya mwanamke. Wala haija wahi kuwa sifa yake. I guess unaniquote vibaya.
Katika hoja yangu sijamaanisha kuwa mwanamke anapaswa kuwa kilaza, Mjinga Mjinga, Mshamba, au mpumbavu. Hakuna mwanaume anayehitaji mwanamke aina hiyo.

Point yangu ni kuwa kuna muda mwanamke anapaswa kuwa kama mtoto kwa mumewe. Asiwe mjuaji sana, awe mwenye akili kwa majirani na watoto ila kwa mume kuna muda anapaswa kuwa na utoto utoto fulani ambao kwa namna moja au nyingine unanogesha ndoa....

Kuna mambo mwanamke hana ulazima kuyatulia maanani nimeotoa mfano mzuri vita ya Ukraine na vitu vingine kama ivyo bora vimpite Tu. Ni kheri mke awe mshamba wa Instagram na snapchat ila awe ni mwelevu linapokuja suala la watoto na ibada
 
Ukiona hivyo juwa una akili za kitoto. Wanasema hamuendani low brain .
I guess umeninukuu vibaya Katika hoja yangu sijamaanisha kuwa mwanamke anapaswa kuwa kilaza, Mjinga Mjinga, Mshamba, au mpumbavu. Hakuna mwanaume anayehitaji mwanamke aina hiyo.

Point yangu ni kuwa kuna muda mwanamke anapaswa kuwa kama mtoto kwa mumewe. Asiwe mjuaji sana, awe mwenye akili kwa majirani na watoto ila kwa mume kuna muda anapaswa kuwa na utoto utoto fulani ambao kwa namna moja au nyingine unanogesha ndoa....

Kuna mambo mwanamke hana ulazima kuyatulia maanani nimeotoa mfano mzuri vita ya Ukraine na vitu vingine kama ivyo bora vimpite Tu. Ni kheri mke awe mshamba wa Instagram na snapchat ila awe ni mwelevu linapokuja suala la watoto na ibada
 
Wanawake wakiwa wamekaa wenyewe huwa wanajadili mambo gani mara nyingi?
Mkuu ni ngumu kidogo kujibu hili

Lakini wanawake mara nyingi wanapenda kujadili mambo very general yanayotokea kila siku kwenye maisha yao

Mfano mzuri ni hapa JF
Hebu nenda jukwaa la Tech, Intelligent, GT, Dini, ni nadra sana kukuta wadada wanachangia
Humu utakutana na vidume vinaparangana

Lakini nenda Chit Chat, celebrities, mahusiano, habari mchanganyiko nk utawakuta wanawake wameweka kambi huko
Uzi mmoja unaweza kuta mdada comments replay kama 50 hivi lakini comments zenyewe nusu ni emoji na zingine ni sentensi zisizo zidi 3
 
Mwanamke bogazi sitaki
I guess umeninukuu vibaya Katika hoja yangu sijamaanisha kuwa mwanamke anapaswa kuwa kilaza, Mjinga Mjinga, Mshamba, au mpumbavu. Hakuna mwanaume anayehitaji mwanamke aina hiyo.

Point yangu ni kuwa kuna muda mwanamke anapaswa kuwa kama mtoto kwa mumewe. Asiwe mjuaji sana, awe mwenye akili kwa majirani na watoto ila kwa mume kuna muda anapaswa kuwa na utoto utoto fulani ambao kwa namna moja au nyingine unanogesha ndoa....

Kuna mambo mwanamke hana ulazima kuyatulia maanani nimeotoa mfano mzuri vita ya Ukraine na vitu vingine kama ivyo bora vimpite Tu. Ni kheri mke awe mshamba wa Instagram na snapchat ila awe ni mwelevu linapokuja suala la watoto na ibada
 
Ignorance na ushamba unazungumzia wewe sio sifa ya mwanamke. Wala haija wahi kuwa sifa yake. I guess unaniquote vibaya.
Katika hoja yangu sijamaanisha kuwa mwanamke anapaswa kuwa kilaza, Mjinga Mjinga, Mshamba, au mpumbavu. Hakuna mwanaume anayehitaji mwanamke aina hiyo.

Point yangu ni kuwa kuna muda mwanamke anapaswa kuwa kama mtoto kwa mumewe. Asiwe mjuaji sana, awe mwenye akili kwa majirani na watoto ila kwa mume kuna muda anapaswa kuwa na utoto utoto fulani ambao kwa namna moja au nyingine unanogesha ndoa....

Kuna mambo mwanamke hana ulazima kuyatulia maanani nimeotoa mfano mzuri vita ya Ukraine na vitu vingine kama ivyo bora vimpite Tu. Ni kheri mke awe mshamba wa Instagram na snapchat ila awe ni mwelevu linapokuja suala la watoto na ibada
Mifano uliyoitoa sio mifano kuwa mtoto kwa mume wake,
Kwani kuna shida gani mke akifuatilia vita vya Ukraine? Mfano mke ni lecturer wa historia au siasa chuo kikuu, mwandishi wa habari, mfanyakazi airport, mfanyakazi ubalozini au mwalimu wa historia sekondari sio atakuwa kilaza/bogus sana kutofuatilia vita vya Ukraine??
 
Mifano uliyoitoa sio mifano kuwa mtoto kwa mume wake,
Kwani kuna shida gani mke akifuatilia vita vya Ukraine? Mfano mke ni lecturer wa historia au siasa chuo kikuu, mwandishi wa habari au mwalimu wa historia sekondari sio atakuwa bogus sana kutofuatilia vita vya Ukraine??
Mwanamke napaswa kushika kwenye uanamke wake hata kama amelolewa na mwanajeshi. Sio kwamba kuna shida mwanamke kufuatilia vita vya Ukraine ila HAKUNA FAIDA YOYOTE atakayoipata kwa kufuatilia vita vya Ukraine.

Kufuatilia habari ni sifa za mwanaume ndio maana ata wazee wetu enzi zao akifika ndani anakuja mama anafatilia tamthilia yeye anawek ITV au BBC.

Mifano ya kuwa mtoto kwa mume ni sawa na mtoto mdogo anavyobehave kwa mama yake. HAKUNA MTOTO MJUAJI KWA MAMA YAKE. That's the point kuwa na akili za kitoto. Kutokuwa mjuaji.
 
Mkuu ni ngumu kidogo kujibu hili

Lakini wanawake mara nyingi wanapenda kujadili mambo very general yanayotokea kila siku kwenye maisha yao

Mfano mzuri ni hapa JF
Hebu nenda jukwaa la Tech, Intelligent, GT, Dini, ni nadra sana kukuta wadada wanachangia
Humu utakutana na vidume vinaparangana

Lakini nenda Chit Chat, celebrity, habari mchanganyiko nk utawakuta wanawake wameweka kambi huko
Uzi mmoja unaweza kuta mdada comments replay kama 50 hivi lakini comments zenyewe nusu ni emoji na zingine ni sentensi zisizo zidi 3
Naelewa unachosema, lakini ni kwa sababu mazingira waliyopo yamewa shape kuwa hivyo na mfano ni huu hapa kwamba wanaume wengi hawapendi wanawake "wajuaji", wanaume wengi hawawashirikishi wanawake zao katika biashara zao au mazungumzo yao, mabinti wengi wanalelewa katika mazingira ya kulenga kuolewa zaidi hivyo imewapelekea kubaki wanajadili vitu vidogo vidogo tu vya kawaida vya kila siku na umbea, ila hiyo sio hulka ya kike ni hulka ya iliyotengenezwa na mfumo wa kijamii.
 
Back
Top Bottom