Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Punguza ujinga unajichora kwa chaki,anaemshtaki Makonda ni mtu binafsi serikali haiusiki.

Sasa Samia anakujaje? Sifa za kijinga.

Ujinga umekujaa ww, sbb hujui how Government Systems work. Makonda atafikishwa mahakamani, indirectly there must be a blessing from top most authority..!! Nakazia, behind the scene/Indirectly kuna all blessings from above to go ahead with the case.

Ww ndio hujui kitu unaona tu on front page and you don't think deep. Ukiendelea kutokuelewa nakujibu hovyo, shit, sbb hutaki kuelewa.
 
Katika awamu ya tano kulikuwa na matukio mengi ya kupotea watu

Na yeye akiwa kama mkuu wa mkoa wa Dar alitoa matamshi ya kejeli na wengine kuona moja kwa moja uhusika wake, mfano kupotea kwa Roma na MO alitaja mbele ya vyombo vya habari kwamba watu wasiwe na wasiwasi watu hao waliopotea wataonekana siku si nyingi.

Ushahidi wa Makonda sio wa kujificha uko wazi, hata mataifa YA NJE yalishawahi kumtaja na kumpa pingamizi la kusafiri kwenye nchi zao.

Ni mda muafaka wa huyu kijana kupelekwa mbele ya haki akawajibike kwa makosa aliyofanya.
 
Sema mfumo ukiamua kukuzingua unakuzingua kweli,hata kama ulikuwa kwenye mfumo
Mfumo hauelewekagi
Sijui mmnielewa!!!

Ova
 
Taratibu ataelewa tu kiongozi.
 
Huyo yupo live kwenye CCTV na askari/watu wenye silaha wakiingia kituo cha Televion/Radio kwa nguvu kulazimisha ujinga wao
 
Kiukweli simtakii mabaya .
ila kumpiga mitama mzee Warioba mpk leo inafikirisha sana.
aliwezaje kuthubutu hivyo.
Hilo alitumwa na JK kupunguza nguvu katiba mpya iliyokuwa imepiganiwa sana na kina Wayroba, Salim Ahmed Salim, Prof Kabudi kabla ya kuwehuka sambamba na Polepole, Judge mkuu Ramadhan, nk nk. Kwa kuwa Makonda hana akili ya kuwaza zaidi ya Leo, alikubali pia kumtukana Lowassa na pia mauaji na utesaji raia ambapo CIA wanao ushahidi kamili. Ameiba Mali za watu kuliko Sabaya na kijimilikisha. Akipona aachane na siasa aongoke kabisa!
 
MIMI NA WENZANGU TUNAENDELEA NA KESI YA KUFOJI NA KUTUMIA CHETI CHA PAUL MAKONDA NA WAKATI YEYE NI DAUDI ALBERT MALYANGILI BASHITE ALIYEPATA ZIRO FORM IV
 
Yametimia..
 
Kwa jinsi taarifa ilivyo inaonyesha sio Jamuhuri inayokusudia kumshtaki ni wakili binafsi....thus hamna muujiza wowote
 
Mimi nitakuwa mmoja wa mashahidi wa upande wa mashtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…