Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Ndiyo inaanza sasaImeishaaaa hiyo sukuma gang kwenye ubora wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo inaanza sasaImeishaaaa hiyo sukuma gang kwenye ubora wako.
Ndio ww kwenye pic ?Ngoja nisubiri kidogo kabla sijatoa neno, isije kuwa habari ya kuzusha tukaanza kutafuta uvungu wa kujificha.
Punguza ujinga unajichora kwa chaki,anaemshtaki Makonda ni mtu binafsi serikali haiusiki.
Sasa Samia anakujaje? Sifa za kijinga.
Taratibu ataelewa tu kiongozi.Ujinga umekujaa ww, sbb hujui how Government Systems work. Makonda atafikishwa mahakamani, indirectly there must be a blessing from top most authority..!! Nakazia, behind the scene/Indirectly kuna all blessings from above to go ahead with the case.
Ww ndio hujui kitu unaona tu on front page and you don't think deep. Ukiendelea kutokuelewa nakujibu hovyo, shit, sbb hutaki kuelewa.
Huyo yupo live kwenye CCTV na askari/watu wenye silaha wakiingia kituo cha Televion/Radio kwa nguvu kulazimisha ujinga waoKosa linaloitwa matumizi mabaya ya madaraka ni gumu kulitolea ushahidi mbele mahakama ya haki bila kuonyesha kuwa alitumia madaraka hayo kujinufaisha yeye binafsi na familia yake.
Akitumia madaraka hayo kukutisha linaweza liswe kosa la jinai bila viongezi vingine.
Hilo alitumwa na JK kupunguza nguvu katiba mpya iliyokuwa imepiganiwa sana na kina Wayroba, Salim Ahmed Salim, Prof Kabudi kabla ya kuwehuka sambamba na Polepole, Judge mkuu Ramadhan, nk nk. Kwa kuwa Makonda hana akili ya kuwaza zaidi ya Leo, alikubali pia kumtukana Lowassa na pia mauaji na utesaji raia ambapo CIA wanao ushahidi kamili. Ameiba Mali za watu kuliko Sabaya na kijimilikisha. Akipona aachane na siasa aongoke kabisa!Kiukweli simtakii mabaya .
ila kumpiga mitama mzee Warioba mpk leo inafikirisha sana.
aliwezaje kuthubutu hivyo.
Hajaomba msamaha badoKiukweli simtakii mabaya .
ila kumpiga mitama mzee Warioba mpk leo inafikirisha sana.
aliwezaje kuthubutu hivyo.
Yametimia..Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
View attachment 2010908
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.
Taarifa hiyo imeandikwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la leo (Novemba 15,2021), ambapo inaelezwa kwamba, maombi ya kumfungulia kesi Paul Makonda, yamepelekwa na Mwanasheria wa kujitegemea ambaye jina lake halijawekwa wazi.
Raia Mwema limeeleza kwamba katika Mwanasheria huyo ameomba kibali cha Mahakama kumshitaki Makonda kutokana na makosa anayodaiwa kuyatenda wakati akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kinyume cha Sheria namba 96.
Mwanasheria huyo ameomba Makonda afikishwe kortini pia kujibu tuhuma za kuingilia maudhui ya matangazo ya kituo cha televisheni cha Clouds, alipoenda katika ofisi zao, usiku wa Machi 17,2017.
Paul Makonda alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam tangu mwaka 2016 alipoteuliwa na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati Dkt John Pombe Magufuli. Mwaka 2020 Paul Makonda aliondolewa katika nafasi hiyo ikiwa ni baada ya kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kigamboni.
Iwapo Paul Makonda atafikishwa Mahakamani, atakuwa kiongozi wa pili kukabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka katika kipindi cha hivi karibuni, kwani aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya alishafikishwa Mahakamani kwa makosa hayo na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
Mimi nitakuwa mmoja wa mashahidi wa upande wa mashtaka.Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.