Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sabaya muujiza tumeuona.Kwa jinsi taarifa ilivyo inaonyesha sio Jamuhuri inayokusudia kumshtaki ni wakili binafsi....thus hamna muujiza wowote
President alisema nini jana?Na kwa kauli ya Prezda jana wakati anazindua jengo la chuo cha Jeshi kunduchi sasa naweza amini DAB a.k.a Paul makonda huenda akashtakiwa
Mkuu kwani cocochanel anasemaje? Au na wewe haujaona post yake siku nyingi kama mimi?Mataga
Corona imemuwahiWaburuzwe tu, hata yule ilitakiwa aburuzwe. Basi tu!
Kapicha tafadhari.Hivi pale anapoishi makonda mfanyakazi wa serikali atachukua miaka mingapi kukusanya pesa ya kupanunua na kufanya ukarabati mkubwa kama ule?
Hivi huyu mcheza maigizo alitupiwa virago?Lazima tutamuongezea muda atake asitake. Hii nchi iliponywa Marchi 17.View attachment 2011990
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Tena alipewa hukumu na Wananchi wasiopenda ujingaHivi huyu mcheza maigizo alitupiwa virago?
Huyo alikuwa ni house girl wa DAB na baada ya kukosa kibarua naye akapunguzwa kazi .Mkuu kwani cocochanel anasemaje? Au na wewe haujaona post yake siku nyingi kama mimi?
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
View attachment 2010908
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.
Taarifa hiyo imeandikwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la leo (Novemba 15,2021), ambapo inaelezwa kwamba, maombi ya kumfungulia kesi Paul Makonda, yamepelekwa na Mwanasheria wa kujitegemea ambaye jina lake halijawekwa wazi.
Raia Mwema limeeleza kwamba katika Mwanasheria huyo ameomba kibali cha Mahakama kumshitaki Makonda kutokana na makosa anayodaiwa kuyatenda wakati akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kinyume cha Sheria namba 96.
Mwanasheria huyo ameomba Makonda afikishwe kortini pia kujibu tuhuma za kuingilia maudhui ya matangazo ya kituo cha televisheni cha Clouds, alipoenda katika ofisi zao, usiku wa Machi 17,2017.
Paul Makonda alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam tangu mwaka 2016 alipoteuliwa na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati Dkt John Pombe Magufuli. Mwaka 2020 Paul Makonda aliondolewa katika nafasi hiyo ikiwa ni baada ya kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kigamboni.
Iwapo Paul Makonda atafikishwa Mahakamani, atakuwa kiongozi wa pili kukabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka katika kipindi cha hivi karibuni, kwani aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya alishafikishwa Mahakamani kwa makosa hayo na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
Corona haina adabu kabisaCorona imemuwahi
Jamaa jengo lq bunge aliligeuza majengo ya kaoleTena alipewa hukumu na Wananchi wasiopenda ujinga
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Tatizo wakiandika Uchambuzi mnawafungia. Kuandika Hamza wa CCM Gazeti likala kifungo cha siku 30Jenerali Ulimwengu ameamua rasmi hili gazeti liwe tabloid sasa kama ya Shigongo. Hakuna tena zile makala za kiuchambuzi mtu unasoma unaridhika. Sad!
Nakushukuru kwa kunielewa. Ngoja niendelee kuelimisha wengine!Hehe, sawa bwana DPP
Wachaaaaaaaaa! Kuna yule mwandishi pia aliyetoka jela kwa makubaliano na dpp naye kama alimtaja? Heehee unaweza ujutreeeHilo alitumwa na JK kupunguza nguvu katiba mpya iliyokuwa imepiganiwa sana na kina Wayroba, Salim Ahmed Salim, Prof Kabudi kabla ya kuwehuka sambamba na Polepole, Judge mkuu Ramadhan, nk nk. Kwa kuwa Makonda hana akili ya kuwaza zaidi ya Leo, alikubali pia kumtukana Lowassa na pia mauaji na utesaji raia ambapo CIA wanao ushahidi kamili. Ameiba Mali za watu kuliko Sabaya na kijimilikisha. Akipona aachane na siasa aongoke kabisa!
Ivi nani huyu?Lazima tutamuongezea muda atake asitake. Hii nchi iliponywa Marchi 17.View attachment 2011990
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app