jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ukristo na uislam ipi dini ya kwanza??ipi iliyokuja baada ya mwenzake.??Mzungu ni mzungu tu akipanga mipango yake kwa wajinga lazima afanikiwe
Kwanza wametengeneza dini ya ukristo wakakuleteeni
Pili wakakujazeni ujinga kuwa uislam ni dini ya ugaidi
Ndio wanacho fanya..usione wanajenga misikiti ama zile shule zao maporini huko rufiji jua hizo ndio vyuo vya kufundisha magaidi...kituo cha kikuu kilikua pale ikwiriri.Tulisema awali waarabu ni washenzi na hawana tofauti na shetani
Inawezekana walikuwa wanafadhili magaidi ya kibiti
Marekani hawezi kuwa na agent mshamba level za huyu boyaHuyu jamaa MK254 Huwa agent wa Marekani.
Huku hatupungui mkuu tunazidi kila siku licha ya propaganda kama hizi za kina MK254 za kuleta aya za mchongo na vipande vipande, na zaidi tutazidi kuwaita watu wenye njia hii yenye baraka na inayoendana na mwanadamu duniani na akherah.Ukiwa muislamu baki wewe na familia yako..mleta uzi anachofanya ni kutahadharisha watu wasiendelee kuingia kwenye huo mkenge..wa kigaidi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa inasema jamaa ni mu Iran sio mwarabu.Tulisema awali waarabu ni washenzi na hawana tofauti na shetani
Inawezekana walikuwa wanafadhili magaidi ya kibiti
Sio mbaya kujifariji pia.Huku hatupungui mkuu tunazidi kila siku licha ya propaganda kama hizi za kina MK254 za kuleta aya za mchongo na vipande vipande, na zaidi tutazidi kuwaita watu wenye njia hii yenye baraka na inayoendana na mwanadamu duniani na akherah.
Najua unasema hivyo ili kupotezea uongo wako uliouzua, siku nyingine usifikiri watu wote wana akili za kuvukia barabara wengine wanapambanua na kutafakari mambo kwa kina.Haya ni mavitu gani umeandika, wenzako wanaolipuka mabomu wanasoma kama ilivyo, hawapindishi...
Nilikua najiuliza nini husababisha waislamu walipuke lipuke mabomu kijinga jinga mpaka nikakumbana na hizo aya.
Wamefanya kazi yao.Tishio lake lijo wapi sasa.ukosefu wa weledi kwa wafanyakazi wa uhamiaji
Uwongo kivipi wakati mumeamrishwa kwenye kitabu chenu, ni dini gani nyingine dunia hii ya leo huwa unaona watu wakijilipua mabomu kama nyie, mna laana ya ajabu.Najua unasema hivyo ili kupotezea uongo wako uliouzua, siku nyingine usifikiri watu wote wana akili za kuvukia barabara wengine wanapambanua na kutafakari mambo kwa kina.
Wakikujibu hao wajiitao wafia dini nistue tafadhali Chifu [emoji87]Thread inayo taarifa kutimua gaidi lililokua linajatarisha usalama wa taifa nayo mnaipinga ? Nyie watu vipi? Kwaiyo nyie dini kwenu nibora kuliko usalama wa taifa?
Ficha upumbavu wako dhihirisha ujinga wako ili ujifunze mengiMnapenda kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila tatizo lenu liko hapa
Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Dini ya mchongo ,dini iliyotungwa maalumu na waarabu kwa lengo la kupinga ukristo na kuleta vurugu duniani,huyu mungu wao Allah anamatatizo sana.Sasa idara ichukie mtu mmoja mpaka kumfukuza. Penye ukweli tuambiane tu kuwa mafunzo ya dini ya uislam yana walakini ndo maana ugaidi 80% umeigusa dini ya allah.
Gaidi,anapanga mipango ya kigaidi,unanirudisha kwao badala ya kumfungulia mashtaka?!Halafu ukisoma makala yote, hajawa tishio kwa Tanzania tu, na hadi majirani pia, sijui nini huwasumbua....kwani kuishi na binadamu wengine kwa amani huwa kunawapunguzia nini...
Dini iliyotungwa na mzungu imemwaga damu za mamilioni ya watu duniani koteDini ya mchongo ,dini iliyotungwa maalumu na waarabu kwa lengo la kupinga ukristo na kuleta vurugu duniani,huyu mungu wao Allah anamatatizo sana.
Ugaidi kuanzia lini!?..toka crusade mpaka kwa wahindi wekundu, Australia,Ireland na George bush au unatazama bin laden na wafuga ndevu wenzie!?Sasa idara ichukie mtu mmoja mpaka kumfukuza. Penye ukweli tuambiane tu kuwa mafunzo ya dini ya uislam yana walakini ndo maana ugaidi 80% umeigusa dini ya allah.