KabisaUmasikini mbaya sana huleta chuki na makasiriko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaUmasikini mbaya sana huleta chuki na makasiriko
Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali
View: https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19
#mgomo KARIAKOO
24/6/2024
View attachment 3025650
Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga

raraaaa reeee

nilikuwa nasikia tu wanawake wa kinyaki ni wababe kumbe kweli🤣🤣🤣🤣Halafu kidogo nikutag uje umshuhudie Tuntufye alivyotuwakilisha vyema kimataifa🤣🤣🤣🤣
Pamoja na haya ya Kariakoo, kuhusu hii avator, naona kuna umuhimu wa kikao cha haraka.Nimeona...
Kuna mahali kina Manka tumehusishwa....Sijapenda🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Heaven Sent anadai huyo ni manka, wanyaki hawapo k.kooNimeona...
Kuna mahali kina Manka tumehusishwa....Sijapenda🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Hawana show mbovu kabisa.nilikuwa nasikia tu wanawake wa kinyaki ni wababe kumbe kweli🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Nimeona....🤣🤣🤣 Heaven Sent anadai huyo ni manka, wanyaki hawapo k.koo
Du Kumbe hata wewe ni mwoga namna hii? Tukiwa woga namna hii tutazidi kudidimia. Hivi wewe unadhani unaweza kwenda China wakaweka msimamo juu ya jambo fulani halafu wewe mweusi ukawapinga? Watakuua mara moja.Oooooh kumbe alikuwa anapata mshale wake wa jicho kama tangazo lilivyo eleza
Ila hao wadada wajiangalie kwa hayo maamuzi waliyo chukua
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hawana show mbovu kabisa.