Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali

View: https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19

#mgomo KARIAKOO
24/6/2024

View attachment 3025650

Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
raraaaa reeee

RARAAA REEEE hajaiona hii
 
Serikali iwalinde wafanyabiashara wanaotaka kufanya biashara na wale wanaofunga nao isiwabughudhi iwaache wafunge maduka yao hadi hamu yao itakapokwisha kusiwe na kulazimishana kwa sababu kila mtu anafanya biashara kwa mtaji wake na malengo yake.
 
Oooooh kumbe alikuwa anapata mshale wake wa jicho kama tangazo lilivyo eleza
Ila hao wadada wajiangalie kwa hayo maamuzi waliyo chukua
Du Kumbe hata wewe ni mwoga namna hii? Tukiwa woga namna hii tutazidi kudidimia. Hivi wewe unadhani unaweza kwenda China wakaweka msimamo juu ya jambo fulani halafu wewe mweusi ukawapinga? Watakuua mara moja.
 
Back
Top Bottom