Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

kwaivo kenya tukaacha kutangaza leo corona inaisha gafla ?? ujinga uliopo tanzania ni level nyingine kabisa
Nyie mnatia aibu kwelikweli, hivi wewe unitangazie kuwa kila siku watu 100 wanakufa kwa Covid-19 halafu mimi nije huko ili iweje??

Wenzako akina Onyango na Kahata sasa hivi wako uwanja wa Mkapa wanacheza na Vitali ya Burundi. Hakuna face mask hata moja na uwanja umejaa watu zaidi ya 50 000.

Nyie endeleeni kutangaza vifo na kupima pima pima.. Ili watalii waje🙂
 
corona ipo tanzania kama mahali pengine popote duniani na wala hamjaishinda kama wengi wenu mnavyojiaminisha., mmeamua tu kutokua wawazi
Nachojua hakuna athari za corona na ndio maana tunaishi maisha yetu yaleyale ya kawaida kabla ya corona bila tahadhari zozote za kujikinga na corona. Hakuna hali yeyote isiyo ya kikawaida kuonesha watu wanaumwa hovyo wala wingi wa vifo,kila kitu kimerudi kama kawaida nadhani kungekuwa na athari za corona basi tungeshapata mrejesho wake na isingekuwa siri maana hali ingekuwa mbaya.
 
Hawa wajinga ndo wanatafuta ligi. Ukweli ni kwamba wakiitaka hii mechi wao ndio watapoteza zaidi.
Kutoka ile siku mipaka ilifungwa, mulisema Kenya ndiyo "itaumia" saa hizi ni mwezi wa tisa unaelekea na bado hakuna msaada serikali ya KE imewaoba.

Juu wakati huu Kenya haitaki mambo ya wabongo, mumerudia ule ule msemo wenu ati ni wao "watumia".

Kwani hawa viongozi wenu wanafikiri kenya ni wajinga kiasi gani??
 
Tumefungia KQ juzi hapa mkaanza kuhororojoka kwamba hilo hamkuliona. Ukweli ni kwamba Nyang'au anamtegemea sana mbabe mbongo!!
 
Kenya kwa kulazimisha watu! Marekani alishakataa kuvisit Kenya kwenye covid ila atavisit Tanzania kama vile ambavyo list ya Mheshimiwa Trump inavyoeleza 😂 Hivi inawezekanaje umzuie Tanzania kuja kubeba Covid (which is right) halafu umlazimishe U.S kuja Kenya kufanya nini! Hesabu za wapi hizo 😂 MK254 mnafeli wapi au ndo mmechanganyikiwa na Covid yenu 😂
 
Kumbe kupandisha jazba ndo dawa ya corona.
Si mwambieni kenyataa nae apandishe jazba mpone.
Na kama kuacha kupimana corona ndo dawa si muache na nyie MPONE.
Sasa hivi tunaitafuta 600.

Na vile corona haina Kinga wala tibaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kama kuwaambia watu wakaugulie nyumbani ndo dawa ya corona na wao wakenya wawaambie raia wao wakajiuguzie majumbani kwao.
Ili wapone,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kenyatta hawezi akapandisha jazba tukamuacha salama maana huku wengi wetu ni wasomi, tatizo la kisayansi lazima tulitatue kisayansi.
Kwenu huko uwezo wa kuhoji haupo na ndio unaona mpo 66% kwenye hii takwimu hapa.

Mlitatue kisayansi wakati mnazidi kufa?[emoji16][emoji16][emoji16].
bora nisiwe na akili kuliko kuwa na akili nyingi kama za wakenya .mzigo unakwenda 600..
Mnawazikia kwenye makaburi gani?
Kenyatta hawezi akapandisha jazba tukamuacha salama maana huku wengi wetu ni wasomi, tatizo la kisayansi lazima tulitatue kisayansi.
Kwenu huko uwezo wa kuhoji haupo na ndio unaona mpo 66% kwenye hii takwimu hapa

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mlitatue kisayansi wakati mnazidi kufa?[emoji16][emoji16][emoji16].
bora nisiwe na akili kuliko kuwa na akili nyingi kama za wakenya .mzigo unakwenda 600..
Mnawazikia kwenye makaburi gani?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Siku ukifaulu kujikomboa na kutoka kwenye hao 66% uje tujadili, endeleeni kuficha matatizo yenu, sisi tutaendelea kuyashughulkia kisayansi na haitokuja siku tupandishe jazba na kuanza kuficha.
 
Mfiche msifiche huo ugonjwa HAUTOKI. Yaani tangu mwezi wa 3 mpaka Leo tunakaribia mwezi wa 9 bado mnahangaika na njia za kisayansi tu[emoji16][emoji16][emoji16].

Mtakufaaaa Mtakufaaaa mpaka mchanganyikiwe..
Siku ukifaulu kujikomboa na kutoka kwenye hao 66% uje tujadili, endeleeni kuficha matatizo yenu, sisi tutaendelea kuyashughulkia kisayansi na haitokuja siku tupandishe jazba na kuanza kuficha.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hata sisi tungekua na hiyo 66% ya mlivyo, mbona tungewaiga kuficha maana mpaka sasa idadi yetu inafichika, sio kama kule Afrka Kusini kwa Mandela ambapo mpaka sasa wamekufa 12,987
 
Kwa hyo maiti 540+ mnaona ndogo?
Mngezifichia wapi?..
Anza kuhesabu kuanzia 1 mpaka 540.
[emoji16][emoji16][emoji16].
Hicho ni kitongoji kabisa

Umaskini unawasumbbua sana nyie, mkae kwenu msubiri corona iishe, jaribu kuinga Uganda, wamewawekea wanajeshi kabisa.
Corona ya Kenya na Uganda Ni ya kupiga pesa za WHO
Kama Tanzania Kuna corona pita YouTube angalia Simba day 22/08/2020
 
Kwa hyo maiti 540+ mnaona ndogo?
Mngezifichia wapi?..
Anza kuhesabu kuanzia 1 mpaka 540.
[emoji16][emoji16][emoji16].
Hicho ni kitongoji kabisa

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Ukiwa na wajinga 66% wasio na elimu wanaounga juhudi mikono, unaweza hata ukaficha maiti 10,000 maana wote hawajafa kwa siku moja. Kwanza ukiwa na liinchi likubwa lenye watu wengi maskini na wasiokua na elimu utaficha virahisi sana. Sema kwetu huku ni balaa, asilimia kubwa wameelimika, pili tuna desturi kali ya kuhoji kila kitu, yaani ole wako uthubutu kuficha hata kifo cha mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…