Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja kuishi kwa furaha na kua na uhakika wa kutimiza ndoto za maisha yake bila mbambamba za muhalifu yoyote.
Hayupo muhalifu atafanya uhalifu wake kwa amani Tanzania, hata kama atabatizwa jina la drama ya utekaji. Ni muhimu zaidi waTanzania wote kuishi kwa usalama na amani wakati wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania