Kina Kibao, polepole na wengine sio raia wema au sio waTanzania?hakuna gentleman,
waTanzania na raia wema wake wote wako salama na wataendelea kufanya majukumu na kazi zao za kila siku kwa amani na usalama wanaostahili š
hiyo yote ni porojo gentleman,Kuna watu October 29 walipigwa risasi wakiwa kwenye mabanda ya mpira wengine ndani ya nyumba zao..
Hao wote nao wapo kwenye kundi la waharifu?
Mahakama ni za kazi gani kama watu wanatekwa na kupotezwa kwa kigezo cha waharifu?
Mleta mada kitie kidole kwenye tupu yako ya nyuma kisha kinuse..
Elewa kwamba wewe na hao unaowaita. waharifu kifo ni kwa wote..kuwa muumini wa haki na sio tumbo.
Gentleman,Kina Kibao, polepole na wengine sio raia wema au sio waTanzania?
Na Ile tume iliyoandika watu 518 waliuawa hiyo Oktoba nao ni waongo wanaleta porojo?hiyo yote ni porojo gentleman,
na ikiwa uko na detailed information kuhusu unachoeleza ni vizuri sana kuripoti kwenye mamlaka husika.
vinginevyo kupotosha wadau wa JF kwa uongo na uzushi wa aina hiyo ni kujifedhehesha mwenyewe tu jukwaani.
hata hivyo
raia wema wote Tanzania, wanaostahili kuishi kwa amani na usalama wa uhakika, huku wakifanya kazi zao bila bugdha za wahalifu na wakiuka sheria š
Unaheng'eneka. Tulia, jibu bila pressure itakuwa safi. Ni hoja kwa hoja.Gentleman,
ikiwa uko na uthibitisho wa hiyo porojo why uje JF kutafuta kiki na public sympathy badala ya kusaidia mwendazake unaemsingizia drama ya utekaji apate haki anayostahili?
au wewe ndie mtekaji?
nchi yetu ni ya amani bana hakuna mambo useless kama hayo š
Gentleman,Na Ile tume uliyoandika watu 518 walikuwa hiyo Oktoba nao ni waongo wanaleta porojo?
Grow up kijana acha uchawa wa kikyum@ hii nchi haitaki akili kama zako..
Miaka kandaa nyuma Polepole alijiona yupo salama ..lakini leo yupo wapi?
Hakuna aliye salama ukweli usemwe tu.
Endelea kujaza fuvu na pumbu muda wako ukifika utalia kama ambulance.
Gentleman,Unaheng'eneka. Tulia, jibu bila pressure itakuwa safi. Ni hoja kwa hoja.
Kama swali langu misingi yake ni porojo za JF, then what happen to watu kama kina Kibao? Uhalisia wa taarifa za utekaji na mauaji ni upi? Hakuna utekaji?
Kwa vyama vya siasa,Asasi za kiraia zinamiliki majeshi na silaha za kivita?? Na ndio walioua watu?Gentleman,
kwasababu kila moja wenu alikua na porojo, uzushi na uongo wake kuhusu hayo ya 2025, ndipo ikaundwa tume ya kubaini ukweli na uongo wa uzushi wenu.
na tume imekuja na ukweli kwamba baadhi ya vyama vya siasa na asasi za kiraia ndio waliohusika kupanga, kuratibu na kutekeleza matukio ya kigaidi ambayo yalisababisha uharibifu na maafa mabaya sana kuwahi kutokea.
Na ndio maana nasisitiza sana kwamba,
waTanzania wote wanaostahili kuishi kwa amani na usalama wa uhakika wakati wote. Hakuna muhalifu ataachwa atambe hata kwa sekunde moja tu.
waambie na wenzako kuhusu ukweli huu š
Just,Kwa vyama vya siasa,Asasi za kiraia zinamiliki majeshi na silaha za kivita?? Na ndio walioua watu?
Kweli wewe ni uharo mtupu no need to waste my time with stupidity.
What happen to Kibao? Tumtumie kama rajea. Elezea wewe what happen ili kufuta kichaka cha porojo sijui kiki.Gentleman,
ndio maana nasisitiza Ikiwa hiyo drama ni kweli kama unavyoeleza ili upate kiki,
why hukuiripoti kwenye mamlaka husika, kama sio na wewe umebebwa ufala wa kifikra na wapotoshaji wenzako, eti ule ni utekaji, kisha nawe ukaja mzobemzobe kuuelezea kama ulivyopotoshwa jukwaani.
wewe unadai ni utekaji,
then unauliza what happened?
Si wew una detailed information kuhusu hiyo drama? Expose the truth basi humu JF ikiwa hauko tayari kuripoti kwenye mamlaka husika na itapendeza zaidi.
Otherwise,
ni porojo tu kumbwelambwela eti ni utekaji š
naeleza vip mimi porojo hiyo ambayo wewe unadai ni utekaji?What happen to Kibao? Tumtumie kama rajea. Elezea wewe what happen ili kufuta kichaka cha porojo sijui kiki.
Embu elezea usahihi wa hizi taarifa zilizotufikia kupitia vyombo vya habari, tuambie porojo ni ipi na kwanini raisi aliagiza uchunguzi wa porojo.naeleza vip mimi porojo hiyo ambayo wewe unadai ni utekaji?
wewe si ndio una detailed informations? waeleze wadau hiyo movie ilikuje š
in fact ni porojo tupu ndio maana hakukua na haja ya kueleza kilichobainishwa na uchunguzi.Embu elezea usahihi wa hizi taarifa zilizotufikia kupitia vyombo vya habari, tuambie porojo ni ipi na kwanini raisi aliagiza uchunguzi wa porojo.
View attachment 3664387View attachment 3664388
Aisee. Sasa nakuelewa. Tuishie hapa.in fact ni porojo tupu ndio maana hakukua na haja ya kueleza kilichobainishwa na uchunguzi.
ni fedheha na aibu za kifamilia ambazo hapakua na haja ya kuaibisha upande wowote wa familiaš
ishi na watu vizuri gentleman,Aisee. Sasa nakuelewa. Tuishie hapa.
Jibu swali.gentleman,
raia wema wote Tanzania wako salama na wataendelea kua salama kwenye taifa lao.
wahalifu na wakiuka sheria wote nchini, hawana nafasi kabisa ya kujaribu kuvuruga amani ya waTanzania hata kwa sekunde moja tu. Watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria na kwa gharama yoyote ile, hata kama unajaribu kupindisha mjadala kwa porojo useless kama hizo.
ni muhimu sana kufahamu hilo gentleman š