Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
C kama tuu ccm mnavyotuona wajinga, mnajipigia pesa tuu hukoaah,
utaratibu utakua ni ule ule gentleman, wa wajinga ndio waliwao 🐒
C kama tuu ccm mnavyotuona wajinga, mnajipigia pesa tuu hukoaah,
utaratibu utakua ni ule ule gentleman, wa wajinga ndio waliwao 🐒
Mkuu hoja mezani inasema "Raia wema wote wako salama Tanzania isipokuwa wahalifu na wakiuka sheria"porojo zingine tofauti na hoja mahususi mezani unaweza kuziandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi gentleman.
ni muhimu kujikita kwenye hoja bila kujaribu kupindisha mjadala 🐒
Gentleman,Mkuu hoja mezani inasema "Raia wema wote wako salama Tanzania isipokuwa wahalifu na wakiuka sheria"
Mimi nimepinga hoja yako...
Najaribu kukuonesha mifano ya raia wema waliotendewa unyama na serikali yako...
Huku waharifu na wavunja sheria wakila kuku kwa mrija mtaani...
Sijaenda nje ya mada.
Sawa nimekubali hoja yako...Gentleman,
Raia wema wote Tanzania wako salama na wataendelea kua salama hata ukamilifu wa dahari.
wahalifu na wakiuka sheria wote nchini wataendelea kupata misukosuko mpaka watakaopacha tabia hiyo mbaya inayosababisha usumbufu kwa wananchi wanafanya majukumu yao halali kwa bidii sana 🐒
ni wawapi huyo gentleman?Sawa nimekubali hoja yako...
Haya eleza Polepole alikiuka sheria gani kustahili kufa?
Ni lazima...but msisitizo wangu uko pale pale,
ni lazima waTanzania wote raia wema waishi kwa amani, huku wahalifu na wakiuka sheria wakuchukuliwa hatua kali zaidi bila huruma wala aibu 🐒
Ila ya chadema unajua?binafsi sifahamu chochote kuhusu hilo gentleman 🐒
sibabaiki wala kupepesa macho katika kupendekeza hatua kali zaidi za kuchukuliwa dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria wote nchini,Ni lazima...
Hiki ndio kilipaswa kiwe kichwa cha mada...
Ni lazima raia wema waishi kwa amani ndani ya nchi hii...
Usitetee uovu we mzee...
Mwezi wa kwanza ungemwambia Nchimbi kwamba kuna siku atatukanwa na kina Kawaida angekataa.
ok.
tuliza mihemko sasa wafuata mkumbo wamefundishwa sana na artwork yako useless jukwaani 🐒
Yes,
kwasababu fisadi heche is my friend🐒
sibabaiki wala kupepesa macho katika kupendekeza hatua kali zaidi za kuchukuliwa dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria wote nchini,
in fact,
nitafurahi mno watakaposafishwa wahalifu wote Tanzania na duniani kote. Ni muhimu sana watu kuishi kwa amani na usalama wa uhakika gentleman 🐒
Ally Kibao, Polepole, sheikh Sharifu Majini, Master Tindwa, wazanzibar waliouwawa kwa amri ya Mkapa.Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja kuishi kwa furaha na kua na uhakika wa kutimiza ndoto za maisha yake bila mbambamba za muhalifu yoyote.
Hayupo muhalifu atafanya uhalifu wake kwa amani Tanzania, hata kama atabatizwa jina la drama ya utekaji. Ni muhimu zaidi waTanzania wote kuishi kwa usalama na amani wakati wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Naomba connection ya hii kazi yako. Mtaani pagumu sana, naamini kazi ya uchawa hainishindi.Yes,
kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama nchi ni kuhakikisha wahalifu wote na wakiuka sheria hawaishi kwa amani gentleman. Full stop.🐒
Marehemu mzee Ally Kibao na dereva wa Bajaj Mbise wametekwa kwa uhalifu gani wewe pimbi?Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja kuishi kwa furaha na kua na uhakika wa kutimiza ndoto za maisha yake bila mbambamba za muhalifu yoyote.
Hayupo muhalifu atafanya uhalifu wake kwa amani Tanzania, hata kama atabatizwa jina la drama ya utekaji. Ni muhimu zaidi waTanzania wote kuishi kwa usalama na amani wakati wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Unamaanisha kuwa NCHIMBI ni mhalifu?Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani.