Raia wema wote wako salama Tanzania, isipokuwa wahalifu na wakiuka sheria

Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani.

Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja kuishi kwa furaha na kua na uhakika wa kutimiza ndoto za maisha yake bila mbambamba za muhalifu yoyote.

Hayupo muhalifu atafanya uhalifu wake kwa amani Tanzania, hata kama atabatizwa jina la drama ya utekaji. Ni muhimu zaidi waTanzania wote kuishi kwa usalama na amani wakati wote.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Aisee ccccm ni unafiki yaani leo unasema nchimbi alikuwa muhalifu?
 
nasisitiza tena bila kupepesa macho gentleman,
waTanzania wote wanaostahili kuishi na kufanya kazi na majukumu yao kwa amani na usalama wakati wote.

wahalifu na wakiuka sheria kote nchini, hawastahili kupata amani hata kwa sekunde moja licha ya kutetewa na wafuata mkumbo na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

waambie na wenzako kuhusu hili bila kificho 🐒
 
Unamaanisha kuwa NCHIMBI ni mhalifu?
gentleman,
raia wema wote Tanzania wako salama na wataendelea kua salama kwenye taifa lao.

wahalifu na wakiuka sheria wote nchini, hawana nafasi kabisa ya kujaribu kuvuruga amani ya waTanzania hata kwa sekunde moja tu. Watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria na kwa gharama yoyote ile, hata kama unajaribu kupindisha mjadala kwa porojo useless kama hizo.

ni muhimu sana kufahamu hilo gentleman 🐒
 
nasisitiza tena bila kupepesa macho gentleman,
waTanzania wote wanaostahili kuishi na kufanya kazi na majukumu yao kwa amani na usalama wakati wote.

wahalifu na wakiuka sheria kote nchini, hawastahili kupata amani hata kwa sekunde moja licha ya kutetewa na wafuata mkumbo na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

waambie na wenzako kuhusu hili bila kificho 🐒
Kwahiyo nchimbi akitumiwa na mabeberu?
 
Hawa wahalifu wasio salama, hawana usalama kwa mujibu wa sheria?
 
Hiyo sio porojo ni miongoni mwa hiyo mada
Uko sahihi gentleman kwamba hoja mahususi mezani inahusu raia wote wema wa Tanzania kuishi kwa amani, right?

na kwahivyo,
hakuna aliespesho kwenye hoja hiyo bali ni haki ya raia wema wote wa Tanzania kwa ujumla kuishi kwa amani.🐒
 
Hawa wahalifu wasio salama, hawana usalama kwa mujibu wa sheria?
Yes,
na wanashughulikiwa ipasavyo hata kama watetezi wawahalifu hao husingizia utekaji n.k.

lakini ni lazima watawajibishwa bila huruma au kupepesa macho 🐒
 
Ok, good, Sasa jibu swali linalofata bila kuheng'eneka na kurukaruka.

Watu wanaopotea kwa kutekwa ni wahalifu au raia wema?
Gentleman,
jiepushe na dhuluma ufanyapo biashara au kazi na wenzako, kua muaminifu, jiepushe kumendea wake za watu, epuka kutumia umaarufu wako kutukana watu au kuwanenea uongo watu wasioweza kukujibu matusi au dharau zako kwao kwa maneno, bali vitendo, ili hatimae wakikupoteza usije kutafutiwa public sympathy JF.

ishi na watu vizuri,
tii sheria na katiba ya nchi bila shuruti na utaishi kwa amani na kuinjoy maisha bila usumbufu 🐒
 
Ukijibu swali bila miheng'eneko itakuwa safi sana.

Watu wanaopotea kwa kutekwa ni wahalifu au raia wema?
 
Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani.

Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja kuishi kwa furaha na kua na uhakika wa kutimiza ndoto za maisha yake bila mbambamba za muhalifu yoyote.

Hayupo muhalifu atafanya uhalifu wake kwa amani Tanzania, hata kama atabatizwa jina la drama ya utekaji. Ni muhimu zaidi waTanzania wote kuishi kwa usalama na amani wakati wote.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hata anayekiuka sheria anafaa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Sheria zipo kufuatwa na raia, watawala, na vyombo vya kulinda sheria pia.
When they came for the jews....
 
Ukijibu swali bila miheng'eneko itakuwa safi sana.

Watu wanaopotea kwa kutekwa ni wahalifu au raia wema?
Gentleman,
ikiwa uko na detailed information kuhusu unachoeleza, ni vizuri kuripoti kwenye mamlaka husika, vinginevyo porojo za drama za aina hiyo ni useless kabisa miongoni mwa jamii,

but,
hata hivyo,
waTanzania wote wataendelea kua salama kwa gharama yoyote ile, ispokua wahalifu 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hata anayekiuka sheria anafaa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Sheria zipo kufuatwa na raia, watawala, na vyombo vya kulinda sheria pia.
When they came for the jews....
hivyo ndivyo ambavyo inafanyika gentleman,
na asionewe huruma wala haya muhalifu na mkiuka sheria yeyote yule Tanzania. Awajibishwe kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi ili hatimae raia wema waishi kwa amani na usalama wa uhakika zaidi 🐒
 
Gentleman,
ikiwa uko na detailed information kuhusu unachoeleza, ni vizuri kuripoti kwenye mamlaka husika, vinginevyo porojo za drama za aina ni useless kabisa miongoni mwa jamii,

but,
hata hivyo,
waTanzania wote wataendelea kua salama kwa gharama yoyote ile, ispokua wahalifu 🐒
Sijaeleza lolote, nimeuliza swali kwako, sio kwa polisi au serikali, kwako wewe Tlaatlaah,wanaopotea na kutekwa ni raia wema au wahalifu?
 
unacheleza ni uzushi, ni porojo, ni uongo na upotoshaji wa kutafuta kiki na public sympathy tu gentleman,

na hata pamoja na porojo hizo za kizushi, waTanzania wote wanaostahili kuishi kwa usalama na amani ya uhakika, na wahalifu na wakiuka sheria wote nchini hawana nafasi ya kusumbua wananchi na kuvuruga amani hata kwa sekunde moja tu 🐒
 
Back
Top Bottom