Rais ajaye Tanzania atokane na mmojawapo wa viongozi wafuatao

Baguzi kubwa wewe....

Umefundishwa ubaguzi ?!!!

Yaani mtu anakuwa mpaka raia no.1 halafu unamuongelea kama vile uko ndani ya zile saloon zenu za kike mnazofundishana kupakana "mafuta"...bure kabisa we dada
 
hata mmoja kati ya hao hafai. kwasa sasahivi ni zamu ya mgalatia na mtu toka bara. period.

Nchi inayoongozwa kwa zamu Kama vile ni foleni ya kwenda msalani!

Bado mnategemea viongozi waadilifu na wenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo kwa nchi na watu wake kwa akili hizi?!
 
Nchi inayoongozwa kwa zamu Kama vile ni foleni ya kwenda msalani!


Bado mnategemea viongozi waadilifu na wenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo kwa nchi na watu wake kwa akili hizi?!
Hata tukienda kwa zamu viongozi waadilifu wanaweza kupatikana tu. ni zamu yetu na lazima na makamo wa rais awe na akili, sio mtu anachagua alimradi siku akija kufa anatuachia msala. chalamila alisema jambo la maana sana kipindi kile.
 
hata tukienda kwa zamu viongozi waadilifu wanaweza kupatikana tu. ni zamu yetu na lazima na makamo wa rais awe na akili, sio mtu anachagua alimradi siku akija kufa anatuachia msala. chalamila alisema jambo la maana sana kipindi kile.
Maliza matusi yote....

Hivi CCM impitishe makamu wa Rais mwepesi kichwani ?!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Ain't serious.....
 
Hebu Kinana mtoe muweke Lukuvi
 
Nchi inayoongozwa kwa zamu Kama vile ni foleni ya kwenda msalani!


Bado mnategemea viongozi waadilifu na wenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo kwa nchi na watu wake kwa akili hizi?!
Tanzania ni taifa la kipekee...

Lina muungano wa kipekee...

Kwani ni lazima tuige kwa wengine ?!!! Kwanini haswa ?!!!

Upekee wake ndio hizo uitazo "foleni"....

Upekee wake ni amani na utulivu tulionao.....

#SiempreSSH[emoji120]
 
Hakuna kiongozi hapo.
And it won't be.
Maybe for Hussein.
 
Huwa napatwa na hasira sana pale punguani anapojitokeza na kumuhusisha huyo bashiru na uraisi. Hv tuko serious kweli?!! Bashiru awe raisi?!!!! Huyo mwenye mawazo na hotuba za 1960s aje atutawale sasa hivi?!!!!!! Hapana aisee, kama nchi yatupasa tuwe serious tunapozungumzia uraisi.
 
Hamna kitu,
 
Kobaz tupu
 
Hussein nitasema uongo, simjui; hao wengine ni wezi, mafisadi, na, waongo wa kutupwa. Mwenyezi Mungu atupishie mbali.
 
Nasubiria iyo part two ndio niweke comment yangu sawa
 
Akili zako umezisahau wapi.

Kinana msomali.
Kabudi mwongo ndumilakuwili.
Bashir si raia.
Mwinyi raia wa Zanzibar
Kasimu mwongo.Magufuli ni mzima a Achapakazi.
Baada ya mama next ni mwinyi jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…