Rais ajaye Tanzania atokane na mmojawapo wa viongozi wafuatao

[emoji106]
 
Haitakuja kutokea PM akawa Rais hapa Tanzania,shika hii itakusaidia hususani ccm okiendelea kushika Dola.

Samia ni Bora kuliko Mwinyi.
Mkuu rudi Maktaba ukafanye mapitio upya ya Historia ya nchi hii. Maana Rais wa kwanza wa nchi hii aliwahi kuwa PM
 
twende na kabudi.atatuvusha sana.harafu baada ya mh SSH lazima aje mkristo
 
Bado Katiba hauifahamu unawezaje kusema mambo ya kikatiba kirahisi hivi!
Kajifunze kwanza katiba
 
Shida sio mtu, muhimu ni taasisi imara yenye muongozo ulionyoka lakini tukibaki kwenye haiba pekee nadhani shida zitabaki pale pale. I submit!
 
Mbona umemsahau mheshimiwa January Yusuf Rajab Makamba?
 
Hiyo namba 5 ni magufuli kabisa sema hawawezi mpa tutegemee husen mwinyi mdik tetesi zilizopo mezani.
 
Hawa wote hawafai,
Mwinyi anafanya mambo ovyo ovyo kama vile hana washauri,
1. Unguja mjini kuna masoko makuu matatu,
Soko la Kwerekwe, la Darajani na la Mombasa, soko la kwerekwe alilibomoa 2022 hadi sasa halijakamilika, soko la mombasa nalo kaliangusha chini, hala kwa miezi kadhaa soko la Darajani nalo alilifunga,
Una jiuliza huyu ni rais wa aina gani?
Je huyu ana washauri kweli?
Jenga soko la kwerekwe limekamilika lifungue, kisha jenga la Mombasa then uhamie na kuwlekeza nguvu kwenye masoko mengine mapya,
Leo hii unawatesa wafabiashara wa masoko yote, umewaweka sehemu, jua na mvua pamoja na tope ni zao,
Halafu uje umpe nchi kubwa kama Tanganyika yule?
Atauza visiwa na rasilimali zote kwa wageni.
 
Actually no4 will be in near future
 
Wakati mwengine tujaribu kutoa maoni yetu kwa kufikiria vizuri. Ukisafirisha container, unajaza nyaraka kuelezea mzigo wako, shipping agent hana haki ya kufungua container lako, ila linafunguliwa na customs au linapitishwa kwenye scanner. Shipping agent hana lawama. DIAMOND shipping haina meli wale ni shipping agents tu. Ukikodisha lorry ukapakia magnificent 50, mwenye lorry anayafungua magunia yako kucheki kuna nini ndani.
 
Utetezo wako ni wa hovyo mno. Yaani sitaki hata kukuelewesha kwasababu umejitoa kabisa akili. Kwahiyo mwenye lori atajibebea tu magunia bila kujua kilichopakiwa? Kwa hizo akili zako utabebeshwa drugs kirahisi sana.
 
Hiyo namba 5 ni magufuli kabisa sema hawawezi mpa tutegemee husen mwinyi mdik tetesi zilizopo mezani.

Kwamba Khasim Majaliwa na Hayati John Magufuli wamekatwa toka kitambaa kimoja?


Sidhani.




Hayati Magufuli aliita kijiko kijiko na koleo koleo, hakujali kabisa Kama Una mwili wa nyama wala wa chuma. Alipania kupitisha ruler, tena kwa makusudi kabisa na alijua mwisho wake ni futi sita kwenda chini na haupo mbali.




While Khasim Majaliwa yeye philosophy yake ‘anataka isomeke’ as Muungwana, Mkali lakini mpole, Anazo nguvu lakini hataki kuzitumia maana anaogopa kuumiza watu, anayo meno ila hataki kung’ata. Amenyooshwa na Mfumo, hawezi kwenda mrama.
 
Kwa heshima na taadhima naomba viongozi wa kuu wa mihimili mitatu ya nchi wajao baadae wawe WANAUME.

Pia Kiongozi wa juu kabisa awe MWANAUME.
Wenye Hekima wamenielewa.
Asanteni Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…