Kama 2020 ulinyamaza na safari hii pia nyamazaKwa hiyo ni sawa mama nae aendelee kuchapisha form moja?
Basi sawa
Unadhani kwa suala hilo yawezakuwa alidanganywa?Rais anategemea kuletewa taarifa mezani, je akidanganywa?
Safiii WaterlooMbona hata nyie mlikua chawa wa magufuli shida iko wapi? Kutesa kwa zamu huyo mama mpaka 2030 mtatia akili pumbavu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ulitakiwa uwe kimya ama ushabikie kama ulivyofanya 2020. Sasa unapojifanya kubadilika baada ya mama kufanya alichofanya mtangulizi wake ndo maana nakuona una chuki binafsi kwa mama Samia.Hiyo ina halalisha mama nae kujifanyia hivyo?
naona watu wa Mbowe mshaanza kumpinga Bibi kumfagilia Lissu, hata mkimchukua Ndugai agombee tutahakikisha Bibi anafika 2030Hafai hata kidogo huyu bibi
Wanaompa rais wenu taarifa, hawampi taarifa zilizo sahihi.Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani.
Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini?
Ndugai amehudumu kama spika kwenye serikali ya awamu ya tano na suala la mikopo lilikuwepo lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau .kwa nini?
Nakubaliana na Rais Samia kwamba wengine wanamtamzama juu mpaka chini halafu wanamjaribu. Siku spika aliyejizulu aliyotoa hotuba iliyoonyesha rangi yake halisi kuna maneno alitamka yaliyoonesha nia na dhumuni la kuhoji mikopo ni 2025
Kitendo cha kusema " mtaamua wengewe 2025 muendelee na hawa wanaokopa kopa au mchague wengine ..." si ya kiuongozi ikizingatiwa spika ŋdugai ana 'platforms' nyingi za kupeleka ujumbe kwa mamlaka husika na ukafika haraka.
Lakini kilichompa msukumo wa kusema yale ni homa ya 2025. Tusidanganyane kuwa alikuwa na uzalendo huo. Ndugai ndiye aliyepigia debe ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ambayo ujenzi wake ungegharimu kiasi cha dola bilion 10 za kimarekani ambazo zote zingekuwa ni mkopo.
Zaidi ya yote ikumbukwe kwamba Rais wa JMT ni mtu anayepokea Taarifa nyingi za siri kutoka mamlaka na taasisi mbalimbali na vyanzo vya kuaminika. Naamini Taarifa anayokuja kuitoa ameifanyia tathmini ya na ni ya kuaminika na Rais kusema ni '2025 fever' ni taarifa ya kuaminika kabisa na hii imetokana na kauli ya Ndugai mwenyewe.
Badala ya kulaumu Rais anaenda kuua bunge ,je ni nini kazi ya bunge lisiloisaidia serikali kwenye maendeleo?
Tupate muda wa kuyajadili haya kwa upana huku tukiupa muda kuhukumu kwa haki wakati ukifika
Siwezi kujua ila siamini kwa Rais kuambiwa ukweli bila kudanganywa hata kidogo.Unadhani kwa suala hilo yawezakuwa alidanganywa?
Raisi wa nchi yoyote wengine mpaka mara 2 kwa siku wanapokea briefings za external na internal intelligencesNi hatari sana kupokea kila taarifa kutoka kwa CHAWA
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mnapenda sana kumtukuza Rais ooh ana siri nyingi ana siri nyingi...siri gani?Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani.
Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini?
Ndugai amehudumu kama spika kwenye serikali ya awamu ya tano na suala la mikopo lilikuwepo lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau .kwa nini?
Nakubaliana na Rais Samia kwamba wengine wanamtamzama juu mpaka chini halafu wanamjaribu. Siku spika aliyejizulu aliyotoa hotuba iliyoonyesha rangi yake halisi kuna maneno alitamka yaliyoonesha nia na dhumuni la kuhoji mikopo ni 2025
Kitendo cha kusema " mtaamua wengewe 2025 muendelee na hawa wanaokopa kopa au mchague wengine ..." si ya kiuongozi ikizingatiwa spika ŋdugai ana 'platforms' nyingi za kupeleka ujumbe kwa mamlaka husika na ukafika haraka.
Lakini kilichompa msukumo wa kusema yale ni homa ya 2025. Tusidanganyane kuwa alikuwa na uzalendo huo. Ndugai ndiye aliyepigia debe ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ambayo ujenzi wake ungegharimu kiasi cha dola bilion 10 za kimarekani ambazo zote zingekuwa ni mkopo.
Zaidi ya yote ikumbukwe kwamba Rais wa JMT ni mtu anayepokea Taarifa nyingi za siri kutoka mamlaka na taasisi mbalimbali na vyanzo vya kuaminika. Naamini Taarifa anayokuja kuitoa ameifanyia tathmini ya na ni ya kuaminika na Rais kusema ni '2025 fever' ni taarifa ya kuaminika kabisa na hii imetokana na kauli ya Ndugai mwenyewe.
Badala ya kulaumu Rais anaenda kuua bunge ,je ni nini kazi ya bunge lisiloisaidia serikali kwenye maendeleo?
Tupate muda wa kuyajadili haya kwa upana huku tukiupa muda kuhukumu kwa haki wakati ukifika
Hahahaha Ukwaju bhananilikuwa namtafuta Babati kumbe na wewe CHADEMA hebu jiulizeni km Rais ana SIRI nyingi hata kugombea uspika Mnyika, Zitto, Mbatia Napo mnaogopa kwa sababu Rais ana mtu wake
Mama ni mpole so km Mwendazake ombeeni hata Zungu spite Wasukuma mtakimbukwa lkn Kibajaj mtajuta
Haya Ukwaju bhananaona watu wa Mbowe mshaanza kumpinga Bibi kumfagilia Lissu, hata mkimchukua Ndugai agombee tutahakikisha Bibi anafika 2030
km mna ubavu upinzani pelekeni jina la Spika kwani mna Wabunge sio mpaka Mkiti atolewe Segadance
Non sense2020 waligombea wangapi vileee!!
Ndiyo maana dikteta alikuwa anaua wenzakeIli swali uliwahi kuliuliza 2020?!
Tukachukue fomu wagombea binafsi nitakulipia Babati mpaka Dodoma sio mbali lkn kuwaachia CCM wapite bila kupingwa NI kosa ndipo tudai marekebisho ya Katiba kuwe na kipengele Spika alijiuzulu aliyefuatia ashike Uspika hata asiye na ChamaHaya Ukwaju bhana
mambo ni moto snTukachukue fomu wagombea binafsi nitakulipia Babati mpaka Dodoma sio mbali lkn kuwaachia CCM wapite bila kupingwa NI kosa ndipo tudai marekebisho ya Katiba kuwe na kipengele Spika alijiuzulu aliyefuatia ashike Uspika hata asiye na Chama
Mkuu umehama chama au just kambi lakini bado uko humo humo?Chawa wa mama!
.
Kwani kama mtu ana nia ya kugombea 2025 shida iko wapi?
Si ndio democrasia hiyo?
Hangaya ni mwoga
Lazima tuwaogope nyie SKG maana ni wauajiChawa wa mama!
.
Kwani kama mtu ana nia ya kugombea 2025 shida iko wapi?
Si ndio democrasia hiyo?
Hangaya ni mwoga