Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

Hafai hata kidogo huyu bibi
naona watu wa Mbowe mshaanza kumpinga Bibi kumfagilia Lissu, hata mkimchukua Ndugai agombee tutahakikisha Bibi anafika 2030
km mna ubavu upinzani pelekeni jina la Spika kwani mna Wabunge sio mpaka Mkiti atolewe Segadance
 
Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani.

Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini?

Ndugai amehudumu kama spika kwenye serikali ya awamu ya tano na suala la mikopo lilikuwepo lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau .kwa nini?

Nakubaliana na Rais Samia kwamba wengine wanamtamzama juu mpaka chini halafu wanamjaribu. Siku spika aliyejizulu aliyotoa hotuba iliyoonyesha rangi yake halisi kuna maneno alitamka yaliyoonesha nia na dhumuni la kuhoji mikopo ni 2025

Kitendo cha kusema " mtaamua wengewe 2025 muendelee na hawa wanaokopa kopa au mchague wengine ..." si ya kiuongozi ikizingatiwa spika ŋdugai ana 'platforms' nyingi za kupeleka ujumbe kwa mamlaka husika na ukafika haraka.

Lakini kilichompa msukumo wa kusema yale ni homa ya 2025. Tusidanganyane kuwa alikuwa na uzalendo huo. Ndugai ndiye aliyepigia debe ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ambayo ujenzi wake ungegharimu kiasi cha dola bilion 10 za kimarekani ambazo zote zingekuwa ni mkopo.

Zaidi ya yote ikumbukwe kwamba Rais wa JMT ni mtu anayepokea Taarifa nyingi za siri kutoka mamlaka na taasisi mbalimbali na vyanzo vya kuaminika. Naamini Taarifa anayokuja kuitoa ameifanyia tathmini ya na ni ya kuaminika na Rais kusema ni '2025 fever' ni taarifa ya kuaminika kabisa na hii imetokana na kauli ya Ndugai mwenyewe.

Badala ya kulaumu Rais anaenda kuua bunge ,je ni nini kazi ya bunge lisiloisaidia serikali kwenye maendeleo?

Tupate muda wa kuyajadili haya kwa upana huku tukiupa muda kuhukumu kwa haki wakati ukifika
Wanaompa rais wenu taarifa, hawampi taarifa zilizo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapenda sana kumtukuza Rais ooh ana siri nyingi ana siri nyingi...siri gani?

Mnapenda kutueleza hivo mwisho tunakuja kujua ni upuuzi tu
 
nilikuwa namtafuta Babati kumbe na wewe CHADEMA hebu jiulizeni km Rais ana SIRI nyingi hata kugombea uspika Mnyika, Zitto, Mbatia Napo mnaogopa kwa sababu Rais ana mtu wake
Mama ni mpole so km Mwendazake ombeeni hata Zungu spite Wasukuma mtakimbukwa lkn Kibajaj mtajuta
Hahahaha Ukwaju bhana
 
naona watu wa Mbowe mshaanza kumpinga Bibi kumfagilia Lissu, hata mkimchukua Ndugai agombee tutahakikisha Bibi anafika 2030
km mna ubavu upinzani pelekeni jina la Spika kwani mna Wabunge sio mpaka Mkiti atolewe Segadance
Haya Ukwaju bhana
 
Haya Ukwaju bhana
Tukachukue fomu wagombea binafsi nitakulipia Babati mpaka Dodoma sio mbali lkn kuwaachia CCM wapite bila kupingwa NI kosa ndipo tudai marekebisho ya Katiba kuwe na kipengele Spika alijiuzulu aliyefuatia ashike Uspika hata asiye na Chama
 
mambo ni moto sn
 
Chawa wa mama!
.
Kwani kama mtu ana nia ya kugombea 2025 shida iko wapi?
Si ndio democrasia hiyo?

Hangaya ni mwoga
Mkuu umehama chama au just kambi lakini bado uko humo humo?
 
Mama ni zaifu, homa ya 2025 anasakizia wengine wakati hata yeye hiyo homa inamsumbua , na kama haimsumbui mbona ashaanza kupanga safu kwa ajiri ya safari kuelekea huko.
 
Back
Top Bottom