Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Bakia na mavi yako nyumbani!
Wapumbavu wasiokuwa na akili za kujibizana kisaatarabu ni wazuri sana wa kutumia lugha chafuchafu.

Kama hujawahi kusikia phrase hiyo niliyokwoti basi una elemu nusu ndiyo maana pian unakimbilia lugha chafu. Hayo ni maneno yaliyoko kwenye English Treason Act 1351, watu waliosoma wanayajua sana. Sheria hiyo inaweza kuwa imeshapitwa na wakati lakini ni phrase aliyotumia hata Charles Njonjo kuwazuia wabunge wa kenya kupitisha sheria ya mrithi wa Kenyatta akifa.
 
Nasema tena, "Bakia na mavi yako nyumbani"
 
Duh kuna harufu ya jambo ambalo haliko sawa
 
Duh kuna harufu ya jambo ambalo haliko sawa

Mkuu kila linalotokea kwenye hii Dunia ni baya au zuri kwa macho ya kibinadamu tu. Lakini kwa Mwenyezi Mungu lina maana tofauti kabisa. Mimi na wewe tuendelee kuishi huku tukiomba kila mtu kwa imani yake kwani hatma yetu iko kwa Mungu.
 
Mkuu kila linalotokea kwenye hii Dunia ni baya au zuri kwa macho ya kibinadamu tu. Lakini kwa Mwenyezi Mungu lina maana tofauti kabisa. Mimi na wewe tuendelee kuishi huku tukiomba kila mtu kwa imani yake kwani hatma yetu iko kwa Mungu.
Umezungumza vyema

Safi Sana
 
Endapo kwa sababu "yoyote" ile Rais atashindwa kuendelea na madaraka yake basi atakayechukua nafasi hiyo ni Makamu wa Rais.
daaaaa bado n mule mule amna kitakachobadilika,nmejiskia vbaya,ok swali ikitokea bahat mbaya rais na makamu wake wakalog out in the world nan hapo nan ataongoza,
 
Napata mashaka sana , Maana leo ulinzi kwa makamu umekua si wa kitoto.

Pia leo anaongea kama kiongozi mkuu.

Kama Magufuli yupo hai, Mungu ampe wepesi arudi kwenye majukumu yake
 
Naombeni ufafanuzi.

Je, tunaenda na mama Samia mpk uchaguzi ujao au wataitisha uchaguzi?

Niwe mkweli mwanzo mwa utawala wa Magufuli sikumpenda mimi kama mfanyabiashara ila kadri siku zilivyosonga nikaanza kumwelewa.

Jamaa kapiga kazi ya uhakika bana, ukiacha mapungufu yake(hakuna binadam asiye na mapungufu)

Naombeni ufafanuzi wa kikatiba
 
Mama Samia anachukua nchi kwa muda uliobaki, kazi yake itakuwa ni kumtafuta Makamu wa Rais atakaeona anamfaa.
 
Ahsante kwa maelekezo
 
Nimeukumbuka huu uzi ghafla aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…