Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Wapumbavu wasiokuwa na akili za kujibizana kisaatarabu ni wazuri sana wa kutumia lugha chafuchafu.Bakia na mavi yako nyumbani!
Kama hujawahi kusikia phrase hiyo niliyokwoti basi una elemu nusu ndiyo maana pian unakimbilia lugha chafu. Hayo ni maneno yaliyoko kwenye English Treason Act 1351, watu waliosoma wanayajua sana. Sheria hiyo inaweza kuwa imeshapitwa na wakati lakini ni phrase aliyotumia hata Charles Njonjo kuwazuia wabunge wa kenya kupitisha sheria ya mrithi wa Kenyatta akifa.