Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Tanzania Rwanda North KoreaNchi gani mku zitaje tuzijue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania Rwanda North KoreaNchi gani mku zitaje tuzijue
Huyo uliye m quote atakua yupo kweli maana ni takribani miaka 11 sasa.Kweli Kabisa, hakuna jibu la maana lililotolewa
Kwa mzee kambochi kule torture chamberBroo uko wapi umeacha simanzi mpaka leo unatafutwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! My brother, sijui niseme nini ila Mungu anajua kila kitu na visasi vyote ni juu yakeTeh teh teh, lakii si inawezekana...Je kama ni mapenzi ya Mungu. Naona na wewe mkuu leo umeingia kwenye mtego,mueleweshe mleta hoja tu...Kumpa uelewa mleta Hoja,haitamfanya Rais Afe!
Kwani ni mgonjwa??Hapo kuna mama vice anaomba kimyoyo myoyo rais apitilize!!! Maana katiba hiyo inampa chance,ila mungu yupo mzee wetu atapona soon!.
Tayari. Wanafanya utaratibu wa kutangaza. Zamani alipofariki Mwl Nyerere sisi wa mpakani tukipata taarifa kupitia radio Malawi MBC ikitangaza kwa lugha ya kitumbuka kuwa "the former president of Tanzania Mwl Nyerere alowa" ku St Thomas hospital England
Tuliza mawenge mkuuKama kweli Meko ame-R.I.P......Nashauri baadhi ya watu Wayne kuikimbia nchi mapema
Ohooooo!!!Endapo kwa sababu "yoyote" ile Rais atashindwa kuendelea na madaraka yake basi atakayechukua nafasi hiyo ni Makamu wa Rais.
RIP Mkuu GenekaiUko serious kuuliza the obvious? Kama ni yes basi makamu wa rais ndo atakalia kiti kwa muda utakaokuwa umebaki!
Daaah!!! Mwamba alisha tangulia kumbe?RIP Mkuu Genekai
Bakia na mavi yako nyumbani!..........it amounts to a treasonable offense punishable by death to compass or imagine the death of His Excellency the President of the United Republic of Tanzania!
1 2024Kama kweli ame-R.I.P
Basi tutaka haya yafanyike kwa haraka
1. Marudio uchaguzi Serikali za mitaa
2. Marudio uchaguzi mkuu(wabunge na madiwani)
Daima daimaAnamkumbuka daima milele....
Kumbe kujua kutumia internet ilikuwa ni jambo kubwa sana hapo miaka ya 2010?Najiuliza muuliza swali analiuliza kwa msingi gani na ana uelewa gani wa mfumo wa utawala na katiba ya Tanzania.
Jinsi swali lilivyojengwa, inaniambia wazi kuwa muuliza swali ama hajui Katiba ya Tanzania inasemaje au kaamua kutoelewa mfumo wa Serikali yetu na Katiba inavyofanya kazi inapokuja suala la Urais wa nchi.
Kama muuliza swali haelewi mfumo wa Serikali ya Tanzania na muundo wake Kikatiba na yupo hapa mwenye uwezo wa kutumia internet, basi kuna walakini katika mfumo wa elimu ya Uraia Tanzania kuwa mtu mwenye usomi na uwezo wa kutumia Internet, hafahamu na haelewi Katiba ya nchi yake inasemaje na inafananaje..
Sasa hili ni hatari ukizingatia kuwa kuna Watanzania wengi ambao hawajui haki zao na wajibu wao Kikatiba na wengine kwa makusudi hupuuzia kuelewa kilichoandikwa ndani ya katika kana kwamba vile si jukumu na kazi yao na ni ya Wanasiasa pekee. Hili ndilo linalosababisha Tanzania kuendelea kuwa Taifa linalotawaliwa na kundi fulani lilnalolinyonya Taifa na kuendeleza udumavu wa Demokrasia, Elimu na Haki za Uraia!