Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Hizi hoja kwa nini zianze kuibuka sasa? Kunani? Msemaji wa Serikali jitokeze haya mambo ya afya kudidimia huwa yapo kwa kila binadamu
 
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
Bahati nzuri upo hapa nchini. Zipo nchi ulimwenguni kule kufikiria tu kwamba kiongozi wa nchi amefariki ni kosa la uhaini na unaweza ukapotezwa.
 
Back
Top Bottom