Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Teh teh teh, lakii si inawezekana...Je kama ni mapenzi ya Mungu. Naona na wewe mkuu leo umeingia kwenye mtego,mueleweshe mleta hoja tu...Kumpa uelewa mleta Hoja,haitamfanya Rais Afe!
Dah! My brother, sijui niseme nini ila Mungu anajua kila kitu na visasi vyote ni juu yake
 
Tayari. Wanafanya utaratibu wa kutangaza. Zamani alipofariki Mwl Nyerere sisi wa mpakani tukipata taarifa kupitia radio Malawi MBC ikitangaza kwa lugha ya kitumbuka kuwa "the former president of Tanzania Mwl Nyerere alowa" ku St Thomas hospital England

Duuh!! Naomba iwe kweli
 
Kama kweli Meko ame-R.I.P......Nashauri baadhi ya watu Waanze kuikimbia nchi mapema
 
Kama kweli ame-R.I.P
Basi tutaka haya yafanyike kwa haraka
1. Marudio uchaguzi Serikali za mitaa
2. Marudio uchaguzi mkuu(wabunge na madiwani)
 
Najiuliza muuliza swali analiuliza kwa msingi gani na ana uelewa gani wa mfumo wa utawala na katiba ya Tanzania.

Jinsi swali lilivyojengwa, inaniambia wazi kuwa muuliza swali ama hajui Katiba ya Tanzania inasemaje au kaamua kutoelewa mfumo wa Serikali yetu na Katiba inavyofanya kazi inapokuja suala la Urais wa nchi.

Kama muuliza swali haelewi mfumo wa Serikali ya Tanzania na muundo wake Kikatiba na yupo hapa mwenye uwezo wa kutumia internet, basi kuna walakini katika mfumo wa elimu ya Uraia Tanzania kuwa mtu mwenye usomi na uwezo wa kutumia Internet, hafahamu na haelewi Katiba ya nchi yake inasemaje na inafananaje..

Sasa hili ni hatari ukizingatia kuwa kuna Watanzania wengi ambao hawajui haki zao na wajibu wao Kikatiba na wengine kwa makusudi hupuuzia kuelewa kilichoandikwa ndani ya katika kana kwamba vile si jukumu na kazi yao na ni ya Wanasiasa pekee. Hili ndilo linalosababisha Tanzania kuendelea kuwa Taifa linalotawaliwa na kundi fulani lilnalolinyonya Taifa na kuendeleza udumavu wa Demokrasia, Elimu na Haki za Uraia!
Kumbe kujua kutumia internet ilikuwa ni jambo kubwa sana hapo miaka ya 2010?
 
Back
Top Bottom