Katiba ipi inasema hivyo? Hapa ni ngoma kati tunapiga kura tena mzee.Why not, this will be the first time, Katiba inamtaka Makamu wa Rais ndie achukue kiti, na atakuwa na wasaidizi, sioni sababu kwanini ashindwe kuongoza.
Baraza la mawaziri linakuwaje? Anateua jipya au anaendelea na Hilo Hilo?Why not, this will be the first time, Katiba inamtaka Makamu wa Rais ndie achukue kiti, na atakuwa na wasaidizi, sioni sababu kwanini ashindwe kuongoza
Hadi mm mzee, inabdi nisome hapanimeukumbuka huu uzi ghafla aisee
Hawa hawawezi kitu,watulie tu,maana na wao wanaongozwa na kilaza,JWTZ hawawezi kukubali nchi iongozwe na mzanzibar tena mwanamke,Jiwe katuletea balaa na kiburi chake cha kutokuchunguza afya yake mara kwa mara
Duuuh! Kama namuona February na wenzake wakichukua nafasi nyeti, watoto wa Kambo wana anza kuoga na kupendeza rasmi, kucheka kwa zamu.Ibara ya 37(5) toleo la 2005, inampa Mamlaka Makamu wa Rais kuchukua kiti Cha Urais hadi 2025.
Atashauriana na CCM (kiuhalisia ATAPATA JINA KUTOKA IDARA YA USALAMA YA TAIFA) kupata jina la la Makamu wa Rais na atawasilisha Bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura.
Jina la Makamu wa Rais litatoka TANZANIA BARA.
Kwa sasa, BARAZA LA USALAMA WA TAIFA NDILO LINATOA MWELEKEO WA NCHI.
Rais hufa kama binadamu mwingine yeyoteMhhh....Mkuu Kichuguu,..kwamba Rais hawezi kufikiriwa kama anaweza kufa au?
AiseeNapata mashaka sana , Maana leo ulinzi kwa makamu umekua si wa kitoto.
Pia leo anaongea kama kiongozi mkuu.
Kama Magufuli yupo hai, Mungu ampe wepesi arudi kwenye majukumu yake
Lakini, kumbuka kitu kimojaDuuuh! Kama namuona February na wenzake wakichukua nafasi nyeti, watoto wa Kambo wana anza kuoga na kupendeza rasmi, kucheka kwa zamu.
Fukuza kina DPP,DC wa Hai, chalamilaNa vipi akiapishwa inamaana balaza la mawaziri litavunjwa atapanga upya kuanzia waziri mkuu ?