Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Why not, this will be the first time, Katiba inamtaka Makamu wa Rais ndie achukue kiti, na atakuwa na wasaidizi, sioni sababu kwanini ashindwe kuongoza
Baraza la mawaziri linakuwaje? Anateua jipya au anaendelea na Hilo Hilo?
 
Ibara ya 37(5) toleo la 2005, inampa Mamlaka Makamu wa Rais kuchukua kiti Cha Urais hadi 2025.

Atashauriana na CCM (kiuhalisia ATAPATA JINA KUTOKA IDARA YA USALAMA YA TAIFA) kupata jina la la Makamu wa Rais na atawasilisha Bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura.

Jina la Makamu wa Rais litatoka TANZANIA BARA.

Kwa sasa, BARAZA LA USALAMA WA TAIFA NDILO LINATOA MWELEKEO WA NCHI.
 
Duuuh! Kama namuona February na wenzake wakichukua nafasi nyeti, watoto wa Kambo wana anza kuoga na kupendeza rasmi, kucheka kwa zamu.
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasani Ndiye atakua Rais wa Tanzania ataapishwa haraka iwezekanavyo ili kiti cha Rais kisikae Wazi.

Mara baada ya Samia Suluhu Hassani Kuapishwa atakalia kiti cha urais hadi Mwaka 2025.

Mwaka 2025 Mama Samia Suluhu Hassani atakua na sifa za Kugombea Urais tena wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Ila atakua hana sifa za kugombea mwaka 2030.
 
Duuuh! Kama namuona February na wenzake wakichukua nafasi nyeti, watoto wa Kambo wana anza kuoga na kupendeza rasmi, kucheka kwa zamu.
Lakini, kumbuka kitu kimoja

Idara ya usalama wa Taifa na Jeshi letu vipo macho ili tusipate MAMLUKI ambao watalipasua Taifa.

Nakuhakikishia, Mama akianza kuleta ya kinyume , 2025 HATAFIKA
 
Na vipi akiapishwa inamaana balaza la mawaziri litavunjwa atapanga upya kuanzia waziri mkuu ?
 
Back
Top Bottom