Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,603
Wameandikaje mkuu?The Washington Post sijapenda heading ya habari yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameandikaje mkuu?The Washington Post sijapenda heading ya habari yao
Tuliza wengeLakini, kumbuka kitu kimoja
Idara ya usalama wa Taifa na Jeshi letu vipo macho ili tusipate MAMLUKI ambao watalipasua Taifa.
Nakuhakikishia, Mama akianza kuleta ya kinyume , 2025 HATAFIKA
Rais ni MAMA SAMIA.Wana jf naomba kuuliza .Hiv kutokana na kifo cha rais nni kinafanyika hapa ili kumpata rais mwingine.je kuna uchaguzi mdogo utafanyika au
Upo chama ganiWana jf naomba kuuliza .Hiv kutokana na kifo cha rais nni kinafanyika hapa ili kumpata rais mwingine.je kuna uchaguzi mdogo utafanyika au
Kwa heshima ya mwendazake ,vitu vingine ni uchuro ni sawa na kuongelea mali za marehemu wakati bado hata hajazikwa..Akifariki chama chake kitaendelea kuongoza hadi ifike miaka kumi au yule mgombea mwenza ataongoza nchi.
Je! Wakifariki wote kwa pamoja, pengine wanasafiri kwenye ndege moja, unajua mabadiliko tabia nchi siku hizi hayatabiriki na ni vyema wananchi wakaelewa katiba yao inasemaje.
Naomba utimize ahadiNitakuwa wa mwisho kuchangia
Ndio naafasi nzuri kwa wapigaji serikarini hiyo....Rais ni MAMA SAMIA.
Uchaguzi 2025.
Anawakumbusha kufuata katibaNajiuliza muuliza swali analiuliza kwa msingi gani na ana uelewa gani wa mfumo wa utawala na katiba ya Tanzania.
Jinsi swali lilivyojengwa, inaniambia wazi kuwa muuliza swali ama hajui Katiba ya Tanzania inasemaje au kaamua kutoelewa mfumo wa Serikali yetu na Katiba inavyofanya kazi inapokuja suala la Urais wa nchi....