Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

84fc6c13-b501-4fb5-b6da-c115904a6d6b.jpg
 
Kila la kheri Mama Samia.
Ponesha majeraha ya watanzania
 
Tayari!Corona ina utaratibu wake wa ajabu sana, ina wivu na inapenda kutawala. Ukikataa kuidhibiti ni inatawala.It started in Burundi!
 
Wana jf naomba kuuliza .Hiv kutokana na kifo cha rais nni kinafanyika hapa ili kumpata rais mwingine.je kuna uchaguzi mdogo utafanyika au
 
Akifariki chama chake kitaendelea kuongoza hadi ifike miaka kumi au yule mgombea mwenza ataongoza nchi.

Je! Wakifariki wote kwa pamoja, pengine wanasafiri kwenye ndege moja, unajua mabadiliko tabia nchi siku hizi hayatabiriki na ni vyema wananchi wakaelewa katiba yao inasemaje.
Kwa heshima ya mwendazake ,vitu vingine ni uchuro ni sawa na kuongelea mali za marehemu wakati bado hata hajazikwa..
 
Wana jukwaa naomba msaada wa kujulishwa kikatiba,baada ya kutokea msiba wa rais jpm.Je?Makam wa rais atakalia kiti moja kwa moja had amalizie miaka mitano? Au atakaimu kwa muda na kuitisha uchaguzi mwingine wa urais?

AHSANTENI
 
Baada ya kifo cha Rais Magufuli, na Makam wake kuapishwa kama katiba inavyoelekeza, je kanuni au sheria zinambana Rais huyu Mteule kuhusu jina la Makam wa Rais atakalopendekeza litokee upande gani?

Kama hazimbani basi naona uwezekano mkubwa wa kiongozi wa upinzani haswa Lissu akipewa nafasi hiyo kwa sababu Rais mteule ni mwenye kupenda umoja, mshikamano na muunganishi
 
Najiuliza muuliza swali analiuliza kwa msingi gani na ana uelewa gani wa mfumo wa utawala na katiba ya Tanzania.

Jinsi swali lilivyojengwa, inaniambia wazi kuwa muuliza swali ama hajui Katiba ya Tanzania inasemaje au kaamua kutoelewa mfumo wa Serikali yetu na Katiba inavyofanya kazi inapokuja suala la Urais wa nchi....
Anawakumbusha kufuata katiba
 
Wajuzi wa sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba kujuzwa.

Ni ni miezi mingapi?, wiki ngapi? Siku ngapi? Au masaa mangapi? Baada ya Rais kufariki makamu anatakiwa kuapishwa?

Tanzania ni nchi ya amani tuilinde.
 
Back
Top Bottom