Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo kwenye"Lazima atoke kwenye chama chake cha CCM"ndo pamewakata maini wazee wakunyapianyapia wa Ufipa.
Wewe kambwa!kwani nani kasema hajui MBWA wewe.?..
Kwa hiyo unamaanisha wapinzani hawajui hili?? Au wewe ndio ulikuwa hujui??Apo kwenye"Lazima atoke kwenye chama chake cha CCM"ndo pamewakata maini wazee wakunyapianyapia wa Ufipa.
Hii kauli mbiu ya Maendeleo Hayana Vyama safari hii inaweza kuanza kufanya kazi, huko nyuma tulikua tunadanganyana na kuzugana tu.Mosi, Rais wa JMT mama Samia baada ya kuapishwa atapendekeza jina la makamu wa Rais wa JMT ambaye atatoka kwenye chama chake cha CCM
Pili, makamu wa Rais mteule ataidhinishwa na bunge kwa kupigiwa kura ambako atatakiwa kupata 50% au zaidi kukalia kiti hicho.
Kwa sababu bunge lina wabunge wengi wa CCM yaani zaidi ya 95% inategemewa mchakato wa kura utakuwa mwepesi sana.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe utakuwa mgonjwa waakili. Ukilala ukiamka Ufipa. Si mnasema chama chao kimekufa? Au bado kipo?Apo kwenye"Lazima atoke kwenye chama chake cha CCM"ndo pamewakata maini wazee wakunyapianyapia wa Ufipa.
Kunakitu kimekupita,ila endelea kifatilia utakuja kujua siku za usoni hata kama muda utakua emepita.Kwa hiyo unamaanisha wapinzani hawajui hili?? Au wewe ndio ulikuwa hujui??
Pole sana kwa maumivu makali niliyokupa,jifute na kanga yako alafu patapoa,sawa Baby?Wewe utakuwa mgonjwa waakili. Ukilala ukiamka Ufipa. Si mnasema chama chao kimekufa? Au bado kipo?
Kwaiyo Mwamakula kafanya maombi ya kuuwa watu?Askofu Mwamakula alikwishaomba kila kitu juu ya wezi wa kura wa Okt 2020. Sisi tunasubiri tu Bwana atende... Mmoja baada ya mwingine. Mtajijua wenyewe huko. Katiba iko wazi juu ya hili. Kufikiri kuwa mpinzani anawaza kuwa VP ni ujinga wako.
View attachment 1728971
Wewe ni mwana familia nini? Unataka kusema serikali inaanza kuwatega baada ya siku 100? Anyw ngoja wajuzi wa mambo wajeHaki zake kama
Mshahara,
Kujengewa nyumba,
Na mengine
Karibu mtujuze
Mawaziri wastaafu he
Maspika wastaafu je
Kwann Wakristo ndio wanaongoza kwa ujane kuliko waislamu?mjane wa kwanza ni mama maria nyerere ana nyumba,analipwa kila mwisho wa mwezi,na ulinzi 24hrs.
wa pili mama karume,naye ni hivyo hivyo.
wa tatu ni mama anna mkapa,naye ni hivyo hivyo.
wa nne ni mama janet magufuli,naye ni hivyo hivyo.
urais raha bana,ndio maana jiwe alipunguza mshahara na kuugawa barabarani tu,maana ni kama hauna kazi.
sababu waislam wanarahisisha sana mambo hata ambayo yanahitaji umakini.Kwann Wakristo ndio wanaongoza kwa ujane kuliko waislamu?