Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

IMG-20210318-WA0000.jpg
 
Askofu Mwamakula alikwishaomba kila kitu juu ya wezi wa kura wa Okt 2020. Sisi tunasubiri tu Bwana atende... Mmoja baada ya mwingine. Mtajijua wenyewe huko. Katiba iko wazi juu ya hili. Kufikiri kuwa mpinzani anawaza kuwa VP ni ujinga wako.

1616088139469.png

Apo kwenye"Lazima atoke kwenye chama chake cha CCM"ndo pamewakata maini wazee wakunyapianyapia wa Ufipa.
 
Mosi, Rais wa JMT mama Samia baada ya kuapishwa atapendekeza jina la makamu wa Rais wa JMT ambaye atatoka kwenye chama chake cha CCM

Pili, makamu wa Rais mteule ataidhinishwa na bunge kwa kupigiwa kura ambako atatakiwa kupata 50% au zaidi kukalia kiti hicho.

Kwa sababu bunge lina wabunge wengi wa CCM yaani zaidi ya 95% inategemewa mchakato wa kura utakuwa mwepesi sana.

Maendeleo hayana vyama!
Hii kauli mbiu ya Maendeleo Hayana Vyama safari hii inaweza kuanza kufanya kazi, huko nyuma tulikua tunadanganyana na kuzugana tu.
 
Apo kwenye"Lazima atoke kwenye chama chake cha CCM"ndo pamewakata maini wazee wakunyapianyapia wa Ufipa.
Wewe utakuwa mgonjwa waakili. Ukilala ukiamka Ufipa. Si mnasema chama chao kimekufa? Au bado kipo?
 
Askofu Mwamakula alikwishaomba kila kitu juu ya wezi wa kura wa Okt 2020. Sisi tunasubiri tu Bwana atende... Mmoja baada ya mwingine. Mtajijua wenyewe huko. Katiba iko wazi juu ya hili. Kufikiri kuwa mpinzani anawaza kuwa VP ni ujinga wako.

View attachment 1728971
Kwaiyo Mwamakula kafanya maombi ya kuuwa watu?
Pole sana dada.
 
Haki zake kama
Mshahara,
Kujengewa nyumba,
Na mengine

Karibu mtujuze
 
Haki zake kama
Mshahara,
Kujengewa nyumba,
Na mengine

Karibu mtujuze
Wewe ni mwana familia nini? Unataka kusema serikali inaanza kuwatega baada ya siku 100? Anyw ngoja wajuzi wa mambo waje
 
mjane wa kwanza ni mama maria nyerere ana nyumba,analipwa kila mwisho wa mwezi,na ulinzi 24hrs.

wa pili mama karume,naye ni hivyo hivyo.

wa tatu ni mama anna mkapa,naye ni hivyo hivyo.

wa nne ni mama janet magufuli,naye ni hivyo hivyo.

urais raha bana,ndio maana jiwe alipunguza mshahara na kuugawa barabarani tu,maana ni kama hauna kazi.
 
Kwann Wakristo ndio wanaongoza kwa ujane kuliko waislamu?
 
Back
Top Bottom