Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

Humu ndani kuna vijana wa ajabu sana,yani kila kitu cha nchi huwa wanajifanya wanajua/kukosoa Serikali,yani vitu vya ajabu tu..
Kwanza angeelewa pesa za kufanya Royal Tour zimetoka wapi asinguliza kuhusu Samia Scholarship.

Kwa kumjuza tu, kuna watu sadaka zao ni kubwa sana na zimelenga kwenye elimu.
 
Sadaka anapewa yeye kama nani..sheria iko wazi kwa zawadi wanazopewa viongozi..unaanzishaje institution yenye malengo na majukumu parallel na ile ya serikali? Kuna shida gn hata km ni mshahara wake kuwapa HESLB?
 
Wewe wacha kutafsiri maneno utakavyo wewe, ni ujinga huo. Nakwambia sadaka unasema zawadi. Sadaka siyo zawadi.

Nyerere alishawahi kupewa dadaka na Gadafi akajenge msikiti Butiama, unalielewa hilo? Hajasema mpaka kafa, mama Maria ndiyo akazitowa vaada ya Nyerere kufa.

Unauliza anapewa yeye sadaka kama nani? Hivi huelewi mama Samia ni nani Tanzania hii, Au ni ujinga wako uliousomea tu?
 
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na utaratibu maalum unaozingatia mahitaji?

Natambua kuna taasisi binafsi zinazotoa scholarship kwa wanafunzi wanaofanya vizuri, lakini taasisi hizo zinatumia fedha zake binafsi na nyingi huwa ni taasisi na kampuni za biashara zinazotumia fedha binafsi, mfano benki, Mo Dewji foundation n.k au kama ni taasisi za serikali mfano benki kuu, huwa kuna utaratibu maalum na kuanzia ngazi ya Masters

Je, fedha hizi za Samia zinatoka mfuko gani? Zinatoka kwenye mfuko wake binafsi? Kama sio, fedha hiyo inatoka wapi? Utaratibu ni upi ambao labda ni bora kuliko utaratibu ulioidhinishwa kwa sheria ya bunge?nini maana ya bodi ya mikopo HESLB?

Tunaomba maelezo kutoka wizara husika
Nani alikudanganya HESLB wanatowa "scholardhip"?

HESLB ni madeni tu, unakopeshwa. Scholarship za mama Samia siyo deni, ukiipata hurudishi wala hudaiwi, labda na wewe utowe sadaka yako.

Hivi Watanzania lini ujinga utawaondoka vichwani mwenu?
 
Pesa za umma zinatumika Kwa manufaa ya mtu mmoja ili kumjenga kisiasa ili 2025 kwenye kampeni awe anasema nimetoa ufadhili wa masomo Kwa elimu ya juu.
Hizo pesa za umma ulimpa wewe? Au unaota tu?

Kama baba'ko kashindwa kukusomesha wacha kulazimisha wengine. Piga kitabu uki qualify unalambishwa scholarship.
 
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na utaratibu maalum unaozingatia mahitaji?

Natambua kuna taasisi binafsi zinazotoa scholarship kwa wanafunzi wanaofanya vizuri, lakini taasisi hizo zinatumia fedha zake binafsi na nyingi huwa ni taasisi na kampuni za biashara zinazotumia fedha binafsi, mfano benki, Mo Dewji foundation n.k au kama ni taasisi za serikali mfano benki kuu, huwa kuna utaratibu maalum na kuanzia ngazi ya Masters

Je, fedha hizi za Samia zinatoka mfuko gani? Zinatoka kwenye mfuko wake binafsi? Kama sio, fedha hiyo inatoka wapi? Utaratibu ni upi ambao labda ni bora kuliko utaratibu ulioidhinishwa kwa sheria ya bunge?nini maana ya bodi ya mikopo HESLB?

Tunaomba maelezo kutoka wizara husika
Rais wa Tanzania hana tofauti na supreme leader kwa katiba iliyopo.Rais is each and every thing!
 
Wewe wacha kutafsiri maneno utakavyo wewe, ni ujinga huo. Nakwambia sadaka unasema zawadi. Sadaka siyo zawadi.

Nyerere alishawahi kupewa dadaka na Gadafi akajenge msikiti Butiama, unalielewa hilo? Hajasema mpaka kafa, mama Maria ndiyo akazitowa vaada ya Nyerere kufa.

Unauliza anapewa yeye sadaka kama nani? Hivi huelewi mama Samia ni nani Tanzania hii, Au ni ujinga wako uliousomea tu?
Hizo sadaka za Gaddafi au msikiti WA Gaddafi ulijengwa lini ? Baada ya Nyerere kufariki au ?? Kiasi cha kusema Nyerere alizificha kama zake Hadi Mama Maria ndio kazitoa ??
Kwanza unajua kwanini Gaddafi alizitoa.
 
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na utaratibu maalum unaozingatia mahitaji?

Natambua kuna taasisi binafsi zinazotoa scholarship kwa wanafunzi wanaofanya vizuri, lakini taasisi hizo zinatumia fedha zake binafsi na nyingi huwa ni taasisi na kampuni za biashara zinazotumia fedha binafsi, mfano benki, Mo Dewji foundation n.k au kama ni taasisi za serikali mfano benki kuu, huwa kuna utaratibu maalum na kuanzia ngazi ya Masters

Je, fedha hizi za Samia zinatoka mfuko gani? Zinatoka kwenye mfuko wake binafsi? Kama sio, fedha hiyo inatoka wapi? Utaratibu ni upi ambao labda ni bora kuliko utaratibu ulioidhinishwa kwa sheria ya bunge?nini maana ya bodi ya mikopo HESLB?

Tunaomba maelezo kutoka wizara husika
Labda tumuulize Mch Msigwa anaweza kutoa ufafanuzi zaidi.
 
Wewe wacha kutafsiri maneno utakavyo wewe, ni ujinga huo. Nakwambia sadaka unasema zawadi. Sadaka siyo zawadi.

Nyerere alishawahi kupewa dadaka na Gadafi akajenge msikiti Butiama, unalielewa hilo? Hajasema mpaka kafa, mama Maria ndiyo akazitowa vaada ya Nyerere kufa.

Unauliza anapewa yeye sadaka kama nani? Hivi huelewi mama Samia ni nani Tanzania hii, Au ni ujinga wako uliousomea tu?
Kumbe mkatoliki Nyerere aliwajengea msikiti. Ulitakiwa upewe jina lake kabisa.
 
Humu ndani kuna vijana wa ajabu sana,yani kila kitu cha nchi huwa wanajifanya wanajua/kukosoa Serikali,yani vitu vya ajabu tu..
Hakuna aliyeikosoa serikali, kila jambo linalofanyika kwa ajili ya wananchi ni lazima wananchi walijue ili wasije wakajikuta wanadaiwa.
 
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na utaratibu maalum unaozingatia mahitaji?

Natambua kuna taasisi binafsi zinazotoa scholarship kwa wanafunzi wanaofanya vizuri, lakini taasisi hizo zinatumia fedha zake binafsi na nyingi huwa ni taasisi na kampuni za biashara zinazotumia fedha binafsi, mfano benki, Mo Dewji foundation n.k au kama ni taasisi za serikali mfano benki kuu, huwa kuna utaratibu maalum na kuanzia ngazi ya Masters

Je, fedha hizi za Samia zinatoka mfuko gani? Zinatoka kwenye mfuko wake binafsi? Kama sio, fedha hiyo inatoka wapi? Utaratibu ni upi ambao labda ni bora kuliko utaratibu ulioidhinishwa kwa sheria ya bunge?nini maana ya bodi ya mikopo HESLB?

Tunaomba maelezo kutoka wizara husika
Swali rahisi sana hilo; fedha hizo zinatoka hazina ambako waziri ni Mwigulu. Usipokubaliana na hayo basi hamia Burundi.
 
So mara ya kwanza kwake kufanya hivyo kama unakumbuka miaka ya 2012 alishawahi kufanya hivyo kwa kundi la mabinti mpaka wakapewa jina la watoto samia
Usitudanganye, na umechanganya maddesa, 2012 hakuwa that popular, Yule NI mama SALMA KIKWETE, na wale walikuwa mabinti waathirika WA UKIMWI kupitia mradi wao WA Mama Salma Foundation ambo ulikuwa mradi WA wake za Marais wote wa Aftika kipindi hicho kupigana vita dhidi ya UKIMWI.
 
Kwanza angeelewa pesa za kufanya Royal Tour zimetoka wapi asinguliza kuhusu Samia Scholarship.

Kwa kumjuza tu, kuna watu sadaka zao ni kubwa sana na zimelenga kwenye elimu.
Ila sister kuna sheria za kumbana mh.Rais kwenye kupokea zawadi binafsi....ili kuepuka kuja kutumika kama ushawishi wa kufanya maamuzi kwa upendeleo...
And
Kuna mambo binafsi ukiwa cheo cha juu kama hiko hautakiwi ufanye, coz yataibua mana yataibua mijadala ya uwajibikaji....Yeye kama kiongozi mkuu na mwenye maamuzi ya mwisho ya nchi,ameshindwaje kuboresha mfumo wa serikali ili wahusika kupata huduma ya namna hiyo....
 
Kuna wakati wanapata deals kutoka kwa wahisani, Wanaamua kupitisha program kwa jina la muhusika kama hivo.

Lkn in any ways hazitoki kizembe, kazima mmpeane favouritsm mahari. mfn unakuta DP world wako behind
 
Back
Top Bottom