Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fedha za HESLB zinaruhusiwa kutapakanywa na kutumiwa kwa manufaa ya kisiasa? Wakati huo kuna vijana wenye uhitaji wamekosa mikopo?!Unauliza swali ahalafu unasema "zirudishwe HESLB".
Kama unajuwa zinatoka HESLB kwanini unauliza" anazitowa wapi?".
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Mazuri ni kichukua fedha za umma na kujinufaisha kisiasa?Watanzania hamna shukrani,mtu hata afanye zuri kiasi gani hamridhiki,acheni Vijana Tufurahie Mazuri ya Dkt.Samia
Kiongozi / mtumishi wa umma haruhusiwi kupokea sadaka/zawadi na kutumia kwa jina lake kwa manufaa ya kisiasa! Angekuwa na nia njema fedha hizo zingeelekezwa bodi ya mikopo! Usiwe MPUMBAVUKwanza angeelewa pesa za kufanya Royal Tour zimetoka wapi asinguliza kuhusu Samia Scholarship.
Kwa kumjuza tu, kuna watu sadaka zao ni kubwa sana na zimelenga kwenye elimu.
Usiwachanganye Salma na Samia. Salma Kikwete ndiye alikuja na Watoto wa mama Salma kupitia fedha za mashirika wafadhili. Yule mama alijua kazi ya first lady.So mara ya kwanza kwake kufanya hivyo kama unakumbuka miaka ya 2012 alishawahi kufanya hivyo kwa kundi la mabinti mpaka wakapewa jina la watoto samia
Sadaka ni mchango au zawadi kwa madhumuni ya kiimani..wanaompa hiyo sadaka hawafahamu panapostahili kuipeleka? au yeye anayepewa hajui kuwaelekeza wanaompa pa kuipeleka sadaka yao?Wewe wacha kutafsiri maneno utakavyo wewe, ni ujinga huo. Nakwambia sadaka unasema zawadi. Sadaka siyo zawadi.
Nyerere alishawahi kupewa dadaka na Gadafi akajenge msikiti Butiama, unalielewa hilo? Hajasema mpaka kafa, mama Maria ndiyo akazitowa vaada ya Nyerere kufa.
Unauliza anapewa yeye sadaka kama nani? Hivi huelewi mama Samia ni nani Tanzania hii, Au ni ujinga wako uliousomea tu?
Hapana, zawadi na sadaka ni vitu tofauti kabisa. Zawadi inaweza kuwa yako na zawadi zote zina kanuni kitaifa.Sadaka ni mchango au zawadi kwa madhumuni ya kiimani..wanaompa hiyo sadaka hawafahamu panapostahili kuipeleka? au yeye anayepewa hajui kuwaelekeza wanaompa pa kuipeleka sadaka yao?
Yeye hawezi kupokea sadaka kama Mali yake halafu akapangia nini cha kufanya akiwa hapo km Rais..!
Mambo yaliyotokea kipindi cha Nyerere si lazima yote yawe sahihi na wewe kuyafanya rejea wakati kkla leo sheria na miongozo ya uongozi wa nchi inabadilika.
usodanganye watu, anapokea zawaddi, anapokea sadaka na zote zina sheria yake.Kiongozi / mtumishi wa umma haruhusiwi kupokea sadaka/zawadi na kutumia kwa jina lake kwa manufaa ya kisiasa! Angekuwa na nia njema fedha hizo zingeelekezwa bodi ya mikopo! Usiwe MPUMBAVU
Hakuna poesa za HESLB kwenye Samia Svcholarship.Fedha za HESLB zinaruhusiwa kutapakanywa na kutumiwa kwa manufaa ya kisiasa? Wakati huo kuna vijana wenye uhitaji wamekosa mikopo?!
Unataka kumfundisha Rais sheria kwa maana Ikulu hakuna wanasheria?Ila sister kuna sheria za kumbana mh.Rais kwenye kupokea zawadi binafsi....ili kuepuka kuja kutumika kama ushawishi wa kufanya maamuzi kwa upendeleo...
And
Kuna mambo binafsi ukiwa cheo cha juu kama hiko hautakiwi ufanye, coz yataibua mana yataibua mijadala ya uwajibikaji....Yeye kama kiongozi mkuu na mwenye maamuzi ya mwisho ya nchi,ameshindwaje kuboresha mfumo wa serikali ili wahusika kupata huduma ya namna hiyo....
Hapana, hakujenga msikiti, nisome tena. Utaelewa tu.Kumbe mkatoliki Nyerere aliwajengea msikiti. Ulitakiwa upewe jina lake kabisa.
Ndiyo, mama maria ndiyo alizitowa baada ya nyerere kufa.Hizo sadaka za Gaddafi au msikiti WA Gaddafi ulijengwa lini ? Baada ya Nyerere kufariki au ?? Kiasi cha kusema Nyerere alizificha kama zake Hadi Mama Maria ndio kazitoa ??
Kwanza unajua kwanini Gaddafi alizitoa.
Umesema ukweli kabisa mwamba! Tanganyika Kwisha! Ukuwadi umezidi kuimaliza na wasomi wamekaa kimya kama mazombies!Ndio nchi kwa mara ya kwanza ilipata bomu. Ila mkuu mstaafu majeshi na mlaumu sana mpaka kufa kwangu hata akikimbilia kanisani mpaka huko Italy motoni tutamkuta wa wale wabakaji wajeshi
Wewe ni mpumbavu wa kujitakia, dini yako imekupumbaza kwa kiwango ambacho kila unaloliona kwako lazima ulitafsiri kwa dini yako..Hapana, zawadi na sadaka ni vitu tofauti kabisa. Zawadi inaweza kuwa yako na zawadi zote zina kanuni kitaifa.
Unafikiri anaetowa sadaka haelewi anataka sadaka yake iende wapi mpaka wewe umpangie?
Lakini, wewe una mtazamo wako na uelewako, amini ujuwavyo. Elewa tu, humpangii rais wala humapngii mtowa saaka yeyote aelekeze wapi sadaka yake.
Wewe utakuwa kati ya Wajinga ndiyo waliwao. Umeshasomeshwa ujinga sadaka ni fungu la kumi tu.
Wanaokaa au kufanya kazi ikulu ni malaika? kiburi cha maskini mpumbavu kabisa! kazi tuwape sisi, mshahara mnaopata ni pesa yetu..halafu unarefusha mabega as if msikiti ndio umewaweka hapo..you r so foolish!Unataka kumfundisha Rais sheria kwa maana Ikulu hakuna wanasheria?
Fikiri.
Hivyo ndivyo inavyoitwa? Hata km ni kwa mshahara wake, je anaona ni sahihi kufanya hivyo..vp km kila kiongozi akaanza kufanya km anavyofanya yeye..huoni ni kutengeneza avenue za utakatishaji pesa?Labda kaanzisha Presidential Scholarship Fund...ila kama zinaitwa kwa Jina lake inaweza kutoka mshahara wake. Msemaji wa Ikulu anaweza kuulizwa akatoa jibu.
Ma bad ni kweli nimechanganya madesa sorry Avery one ni Salma so Samia naomba ibadilikeUsitudanganye, na umechanganya maddesa, 2012 hakuwa that popular, Yule NI mama SALMA KIKWETE, na wale walikuwa mabinti waathirika WA UKIMWI kupitia mradi wao WA Mama Salma Foundation ambo ulikuwa mradi WA wake za Marais wote wa Aftika kipindi hicho kupigana vita dhidi ya UKIMWI.