Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

Machungu moyoni yanakutesa sana. Huyo SSH keshafikisha treni ya SGR Dodoma na tunapokwenda ataimalizia kabisa kwa kuifikisha Kigoma/Mwanza.
 
Kwanza angeelewa pesa za kufanya Royal Tour zimetoka wapi asinguliza kuhusu Samia Scholarship.

Kwa kumjuza tu, kuna watu sadaka zao ni kubwa sana na zimelenga kwenye elimu.
Hawa kazi yao ni kutwa kutanua magoli. Likimalizika suala moja wanaibuka na jingine.

Hayati JPM alikuwa anagawa mabulungutu ya shilingi elfu kumi kumi huko njiani alipopita. Wameshasahau.
 
CCM Ni majizi mkuu
 
Sasa Mkuu si Ungeenda straight tu…Kama unataka pia Freeman Scholarship ? Ili na yeye apate mileage..
 
Samiah asilaumiwe anatembelea nyota ya udhaifu wa dola yetu kuendekeza kulinda katiba mbovu iliyopo bila kuyasimamia kikakamavu mabadiliko ya katiba yaliyoanzishwa miaka kumi iliyopita!!

Dola inamlinda Rais ndani ya katiba mbovu inayomfanya Raise awe Mungu mtu!!

Dola ilipaswa iwe kakamavu dhidi ya wanasiasa Kwa kuhakikisha katiba inabdilishwa na wanasiasa wanafuata ipasavyo katiba hiyo na sio kufanya compromise na ubovu wa katiba iliyopo kisa wakubwa wa Dola wanalipwa posho vizuri na mishahara!!!

Kuna vitu Huwa vinanishangaza sana!
 
Wanakopa tutalipa sisi harafu wao wanajichotea tu
 
Unauliza swali ahalafu unasema "zirudishwe HESLB".

Kama unajuwa zinatoka HESLB kwanini unauliza" anazitowa wapi?".

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Yaani akiguswa madamu huwa unawaka moto hata zile busara zako huwa zinakaa pembeni......kumbe huwa mnapambana sababu ya wivu tu na sio kwa sababu Magufuli alikuwa dikteta na mfuja mali.
 
Huo ni utapeli kuongeza ushawishi kwa jamii kuwa anakubalika
 

Wana siasa ukiwafuatilia sana miguu itapata ganzi. Hela za kodi ndio hela zao. Hakuna namna nyingine wataweza kusema.
Kama grants na misaada, je inatoka wapi? Kama wana migodi na hisa binafsi, je wamesha declare in public? Otherwise tuwaunge mkono mpaka mikono yetu itakapokatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…