Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

Kumbe Sio Mahakama Tena inayowatia watu hatiani au kuwafutia mashitaka bali ni rais? Majizi Yanajuana Na Kusameheana
Mahakama ni muhimili mdogo mbele ya muhimili wa serikali, yaani kwasasa urais ndio muhimili hayo mengine ni matawi ya muhimili
 
.....amegundua alikurupuka kwenye maamuzi aliyoyafanya, so kusema amesamehe ni zuga!!

Nxt time awe ana-take possible measure kbl ya kutoa maamuzi kurupu!!
 

Huwa ninawashangaa sana watu wanaomuamini huyu jamaa, huwa anaongea uongo wa wazi.
 
Leo Akifungua ofisi za kikosi Cha Zimamoto Dodoma,ametamka kuwasamehe maofisa waliohusika na utiaji saini wa tender ya kununuliwa vifaa vya Zimamoto toka kwa Wakoloni.Maana yake Kange Lugola saa hizi ni kicheko,hakuna Cha takukuru wala harufu ya Ukonga.Ila najiuliza huruma hii ya Magu imeanza lini?
 
Mmmmmh ngonja niweke akiba ya maneno
 
Kiuhalisia Kangi hakupiga hela akili yake ni ndogo tu kwenye mikataba mikubwa ... hata mkataba wenyewe haukusainiwa .
 
Jinsi Magufuli alivyo na huruma kwa binadamu wenzake ni lazima tumuongezee mihula mingine ya uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…