dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Sio wa kanda yetuKitila kosa lake halisameheki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wa kanda yetuKitila kosa lake halisameheki?
Mahakama ni muhimili mdogo mbele ya muhimili wa serikali, yaani kwasasa urais ndio muhimili hayo mengine ni matawi ya muhimiliKumbe Sio Mahakama Tena inayowatia watu hatiani au kuwafutia mashitaka bali ni rais? Majizi Yanajuana Na Kusameheana
ha ha haSio wa kanda yetu
.....amegundua alikurupuka kwenye maamuzi aliyoyafanya, so kusema amesamehe ni zuga!!
Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaj ndugu Andengenye na wenzake wanne.
Sambamba na msahama huo ameaidi kumpangia kazi nyingine ndugu Andengenye.
Sambamba na msamaha huo hajaweka wazi kama na yule mzee wetu aliyekuwa mjeda na baadae akawa mbeba sime ya Spika na baadae Waziri mzuri mkata mauno kama nae atamsamehe au la!?
Pia amewatakaMkuu Wilaya ya Dodoma na mkurugenzi wa Jiji la Dodoma wapunguze KUOKOTA sasa WAOE.
Pia soma > Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai
Over.
Maswali gani haya? we hujawahi kuomba msamaha kwa uliyemkosea.Nauliza nini maana ya kuomba msamaha mala 3
Rais wa wanyongeHivi raisi anaweza kumsamehe mtu ambaye ndo yupo katika uchunguzi!!! Na hela zetu walipa kodi nani atazirudisha??
Ndio maana nikasema Mh rais ana penda sana maneno ya kudanganywa. Namfahamu sana Andengenye tangu akiwa askari wa kawaida Namanga kipindi cha rushwa za bia za Kenya. Hakuwa na tabia ya rushwa alikuwa mpenda haki, akaja kuwa Rpc Moro na Arusha alikuwa mwadilifu sana Hata sungusungu tume zunguka nae akiwa Rpc na alikuwa hapendi mtu kuonewa. Aje kuwa IG wa Zima moto abadilike? Hili jambo liliniumiza sana na sikipenda kuamini.
Nafurahi sasa Mh rais ameuona ukweli.
%100Yalikuwa maigizo kumbe.!
Mmmmmh ngonja niweke akiba ya manenoLeo Akifungua ofisi za kikosi Cha Zimamoto Dodoma,ametamka kuwasamehe maofisa waliohusika na utiaji saini wa tender ya kununuliwa vifaa vya Zimamoto toka kwa Wakoloni.Maana yake Kange Lugola saa hizi ni kicheko,hakuna Cha takukuru wala harufu ya Ukonga.Ila najiuliza huruma hii ya Magu imeanza lini?
Kiuhalisia Kangi hakupiga hela akili yake ni ndogo tu kwenye mikataba mikubwa ... hata mkataba wenyewe haukusainiwa .Leo Akifungua ofisi za kikosi Cha Zimamoto Dodoma,ametamka kuwasamehe maofisa waliohusika na utiaji saini wa tender ya kununuliwa vifaa vya Zimamoto toka kwa Wakoloni.Maana yake Kange Lugola saa hizi ni kicheko,hakuna Cha takukuru wala harufu ya Ukonga.Ila najiuliza huruma hii ya Magu imeanza lini?
Jinsi Magufuli alivyo na huruma kwa binadamu wenzake ni lazima tumuongezee mihula mingine ya uongoziLeo Akifungua ofisi za kikosi Cha Zimamoto Dodoma,ametamka kuwasamehe maofisa waliohusika na utiaji saini wa tender ya kununuliwa vifaa vya Zimamoto toka kwa Wakoloni.Maana yake Kange Lugola saa hizi ni kicheko,hakuna Cha takukuru wala harufu ya Ukonga.Ila najiuliza huruma hii ya Magu imeanza lini?
Jinsi Magufuli alivyo na huruma kwa binadamu wenzake ni lazima tumuongezee mihula mingine ya uongozi