macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Inawezekana bado rais Samia na Makamu wake wana mlima wa mambo ya kufanya. Sidhani ingekuwa busara makamu aende kwani wako kwenye mikakati ya kupanga namna ya kuendesha serikali.Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?
Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
KUNA HAJA KUBWA SANA WATANZANIA KUELIMISHWA KUHUU MUUNGANO SIKUTARAJIA HATA KIDOGO KWAMBA KUNA WATU WATASHANGAA RAIS WA ZANZIBAR KUMUWAKILISHA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. YAONESHA WAZI WATANZANIA WENGI HAWAELEWI KUHUSU MUUNGANO!!!
HIVI LEO BAADHI YA WATU TENA WENGINE NI WASOMI WANASHANGAA JAMBO HILO!! KAZI KWELI KWELI!!!
Kwani Rais wa Zanzibar ana cheo/wadhifa gani katika serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kama isemavyo katiba...???
Na kama katiba inamtambua katika serikali ya Muungano basi ni haki yake kuagizwa kwenda huko
Hata Kiswahili chake kilikuwa extremely raw! Ilikuwa tabu juu ya tabuJiwe alimtuma Kinana, his language was very raw.
Kwenye maswala ya ulinzi na usalama Mwinyi is the man....hizo chokochoko anazijua kitamboMwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?
Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Si lazima afanye kila kitu, mnataka awe anazurula kila kona. Huo mkutano hauna maajabu ya kulazimisha awepo. Ni kawaida ya marais wapya kutoenda nje mapema, wana kazi kubwa za kufanya na kupanga safu.Au mama anaanza kuwa paranoid of coup d'etat?
Asianze habari za kujifungia kama jiwe
Aende hata Saudi akahiji basi
SUKUMA GANGMwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?
Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Afadhali umewafafanulia sukuma gang walishaanza kuchonga.Akienda kwenye mkutano,anaenda kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania,haendi kama Rais wa Znz....
Mhe Samia angeweza kumtuma yeyote aende kumwakilisha either awe madarakani au asiwe madarakani
Mfano the late JPM alishawahi kumtuma mzee Mkapa na Mzee kikwete mara nyingi waende kumwakilisha.
Uwakilishi is not a big deal.
Kumbe shida yako wewe ni pingapinga na kudai hatufai. Unazunguka mbali kuhoji kivipi Mwinyi kamuwakilisha, hata angemtuma Makamu ungepinga vilevile.Sa
Safu yenyewe ndo type za kina Abbas na Msigwa!
Basi hatufai
Kwa mawazo yangu nadhani ni Rais Mwinyi ni vizuri ameenda, amehudumu kama waziri wa ulinzi. Kwa hali iliyopo nadhani nadhani ni uamuzi.Makamu wa rais hayupo, au sarakasi ndo zimeanza mapema..
Mwinyi alikuwa Defence Minister kwa miaka mingi. Pingapinga hawaelewi, wanataka mkusanya kodi wa zamani akajadiri mambo ya usalama ghafla hiviKwenye maswala ya ulinzi na usalama Mwinyi is the man....hizo chokochoko anazijua kitambo
Hii kitu inawaumiza sana CCM na wapenz wa muungano...znz watainyonua bara watakavyo na watafanya yale yote ambayo yasingefanyika endapo angekuwepo Magu au rais wa BaraKwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Kwani Rais wa Zanzibar ana cheo/wadhifa gani katika serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kama isemavyo katiba...???
Na kama katiba inamtambua katika serikali ya Muungano basi ni haki yake kuagizwa kwenda huko
Maccm yalijua haiwezi tokea na sasa tumewakandamiza Waznz na sasa nchi iko mikojoni mwaoMakamu wa rais hayupo, au sarakasi ndo zimeanza mapema..
Hakika kaka unajua katibaMwandiko wako sijaipenda.
Mjumbe wa baraza la mawaziri.
Tena alimtuma India kutibiwa.Jiwe alimtuma Kinana, his language was very raw.
Je hairuhusiwi Rais wa JMT kumpa majukumu ya kimataifa mmoja wa wajumbe katika hilo baraza la mawaziri...??Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa Baraza la mawaziri la JMT
Watanzania..Kwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.