Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

👍👍
 
Mwandiko wako sijaipenda.


Mjumbe wa baraza la mawaziri.
Je hairuhusiwi Rais wa JMT kumpa majukumu ya kimataifa mmoja wa wajumbe katika hilo baraza la mawaziri...??
 
JPM Aliapa kuulinda...kila Rais aliapa
 
Hivi budget ya bara huwa inaenda kutekelezwa zanzibar? kama haiendi sasa hao wabunge huwa wana kazi gani bungeni, kusema kweli huwa sielewi hapo.
 
Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?

Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Hivi hizi chuki za nini??
 
Labda wale wa 'SSH can do no wrong' waje wafafanue!
 
Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?

Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Hawezi alafanya kazi awafurahishe wote. Kuna mahali hamtakubaliana.
ishu ya mwinyi mnaikiza tu, mbona ishu ndogo au sababu rais ni mzanzibari?
 
Mhh ...hiyo kumtuma mtu yoyote kwenye kikao Kama hiccho unatudngnya!
Kwa Mwinyi Haina shida Zanzibar no sehemu ya Muungano ...waliokuwa wanqchukulia poa,kuhusu nafasi ya Zanzibar kwenye Muu gano ,.mjinyonge!
 
Point of correction uwakilishi is a big deal, anayatumwa anaenda kufanya maamuzi kwa niaba ya nchi, atakachokifanya au kutia sahii kinaibind nchi.
Refer Viena Convention on the law of the treaties.

Mzee mkapa na jk walituwakilisha kwenye msiba wa mzee moi sio vikao vya kimataifa.
 
Safi kaona vp kaanza panda mabega maana lately anatoa matamko as if yupo juu ya Mheshimiwa Rais wetu mpenzi
Ampige benchi na abaki na Kazi yake ya kumiliki mkasi ,bahati nzuri kufanya hivyo ni favor tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…