Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

Tusipokuwa makini hadi kufikia 2025 tutapoteza watu wengi kwa kujinyonga au kwa sonona maana kuna watu hawakubaliani kabisa kama Jiwe limekufa, waamini tu hata mawe yanakufaga.
Kwa maelezo hayo unaonesha wakati wa Magufuli kuna watu walikuwa wanachizika kuona Jiwe anaendelea kuongoza nchi.
 
Ni mbobezi katika maswala ya ulinzi na usalama, safi sana Madam SSH
 
Ndugu zangu!

Ni huyu mtoto wangu mdogo kaniuliza hilo swali.

Kwamba kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.

Hii ikoje kiitifaki?

Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?

Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?

Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
 
Ndugu zangu!

Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.

Hii ikoje kiitifaki?

Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?

Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?

Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Hakuna tatizo. Hata JPM alikuwa anamtuma JK na Mkapa kwenye vikao vya nje wakati Makamu wake yupo. Rais anaweza tuma yeyote hata wewe.

Pamoja na mengine, kikao kitajadili issue ya magaidi wa Msumbiji, Rais Mwinyi ni mtu sahihi coz alikuwa Waziri wa Ulinzi na mara kadhaa majeshi yetu yamepambana na hao magaidi na kuwafurusha so anaweza kutoa ushauri mzuri zaidi kuliko angeenda Dr. Mpango.
 
Ndugu zangu!

Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.

Hii ikoje kiitifaki?

Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?

Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?

Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
I

Limekaa vizuri tu, tena Lima afya na linaleta taswira nzuri mno kwenye JAMII ya kimataifa.
Kimsimgi, Rais Wa Jamhuri ya Tanzania amaweza kumtuma raia yeyote ndani ya mipaka ya Jamhuri ya muungano Wa Tanzania!! Hapo ni credit kwa mama!!
 
Ndugu zangu!

Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.

Hii ikoje kiitifaki?

Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?

Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?

Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Sio mbaya naiona Tanzania ikienda kua nchi moja,na Zanzibar kua Mkoa rasmi. Piga kazi Mama.
 
Mbona poa tu... Kwenye serikali ya JMT yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri... So katumiwa kama mjumbe kwenda kumwakilisha Mama... Labda kama una lako la moyoni na wazanzibari
 
Ndugu zangu!

Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.

Hii ikoje kiitifaki?

Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?

Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?

Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Jamhuri ya Muungano Tanzania(JMT) ni nchi moja.
Unless unataka kupotosha Muungano wetu.....shame on you!
 
Back
Top Bottom