Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Alikuwa Karume day mkuuAnaanza kupita njia za jiwe
Kaanza kupandisha mabega huyu
Mpango wa Mpango sijauelewaSafi kaona vp kaanza panda mabega maana lately anatoa matamko as if yupo juu ya Mheshimiwa Rais wetu mpenzi
Kwa maelezo hayo unaonesha wakati wa Magufuli kuna watu walikuwa wanachizika kuona Jiwe anaendelea kuongoza nchi.Tusipokuwa makini hadi kufikia 2025 tutapoteza watu wengi kwa kujinyonga au kwa sonona maana kuna watu hawakubaliani kabisa kama Jiwe limekufa, waamini tu hata mawe yanakufaga.
imeandikwa kwenye katiba ibara ya ngapi?Hujui rais wa Zanzibar Ni makamo kwenye serikali ya JMT!!!!?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hujui rais wa Zanzibar Ni makamo kwenye serikali ya JMT!!!!?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huyo mama na yeye Kaenda.Ni kumzaririsha mulamula
Safi kabisa. Huo ndiyo umoja na ushirikiano wa Muungano wetu. Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano limebeba yoteHuyo mama na yeye Kaenda.
Rais Wa Zanzibar anawaze kutumwa popote na akaenda.
Pili swala linaloenda kuzungmza Mwinyi ndio mtaaalamu
Hakuna tatizo. Hata JPM alikuwa anamtuma JK na Mkapa kwenye vikao vya nje wakati Makamu wake yupo. Rais anaweza tuma yeyote hata wewe.Ndugu zangu!
Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.
Hii ikoje kiitifaki?
Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?
Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?
Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Hayo yalishapitagaHujui rais wa Zanzibar Ni makamo kwenye serikali ya JMT!!!!?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
INdugu zangu!
Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.
Hii ikoje kiitifaki?
Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?
Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?
Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Limekaa vizuri tu, tena Lima afya na linaleta taswira nzuri mno kwenye JAMII ya kimataifa.Ndugu zangu!
Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.
Hii ikoje kiitifaki?
Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?
Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?
Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Sio mbaya naiona Tanzania ikienda kua nchi moja,na Zanzibar kua Mkoa rasmi. Piga kazi Mama.Ndugu zangu!
Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.
Hii ikoje kiitifaki?
Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?
Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?
Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Jamhuri ya Muungano Tanzania(JMT) ni nchi moja.Ndugu zangu!