MANENO MAKALI SANA
SIJAJUA MAASKOFU WANATUMIA VIPIMO VIPI KUTAKA BWANA NYERERE ATANGAZWE MTAKATIFU.
Ndio ilivyo.
Mengi wanaiga watangulizi.
Hatuna visionaries wa kubadlisha mazoea.
Brigedier General Hashim Mbita aliandika "Ripoti ya Chande" over 20 years ago mauaji ya Zanzibar.
Nani aliamuru kusema ua hapo panya ??
Ripoti ya Mbita ilisema nini ? Hili la kuficha ripoti kaanza Samia?
Mkapa anakuja baadae anaandika kitabu anasema mimi sikuwepo. Hukuwepo mtaani Zanzibar ki shuti watu au hukuwepo Tanzania? Hajasema.
Samia anaiga kina Magu na Mkapa, na Kikwete nae anaiga Nyerere!
Kila anaeingia Ikulu amekaririshwa toka kazaliwa kwamba Nyerere was the greatest leader in world history. Lazima utamwiga tu.
OOOH... MNA KATIBA MBAYA SANA MIMI NIKITOKA MKIPATA WAHUNI HAPA MTAKIONA CHA MTEMA KUNI.
SASA, KWANI NANI ALITUPATIA HIYO KATIBA YENYE LOOPHOLES KWA WAHUNI, SIO WEWE??? KAMA ULIKOSEA NA UMELIONA HILO, KWA NN BASI USIIDILISHE KABLA HUJAONDOKA ILI TUSIANGAMIZWE NA POTENTIAL WAHUNI??? TUJIBU KUTOKEA KABURINI WEWE NYERERE MEATHEAD MKUBWA, TYPICAL PRIMITIVE TYPES RUNNING AFRICA, SHENZ TYPE!