King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kuongea hakusaidii ,inatakiwa uonyeshe ukali ,jiji la Dar chafu sana ,hao RC/DC wawaweka Bylaws ambazo zitawataka watu wa kaya/mitaa kusafisha mazingira yao wenyewe ,ukienda against ni kifungo cha mwezi mzima.Habari wana bodi,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Juzi tar 02/09, Rais Samia alipokua anawaapisha wakuu wa mikoa wateule pale katika ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar alizungumza mengi pamoja na kuwasihi wakuu wa mikoa wapya kufanya kazi kwa bidii na kuwatumikia wananchi.
pamoja