Kuongea hakusaidii ,inatakiwa uonyeshe ukali ,jiji la Dar chafu sana ,hao RC/DC wawaweka Bylaws ambazo zitawataka watu wa kaya/mitaa kusafisha mazingira yao wenyewe ,ukienda against ni kifungo cha mwezi mzima.
 
Huu ni muda wa kudili na wamachinga wanauza mabarabarani, nothing to loose kwa samia ndio ngwe yake ya mwisho
Na pia adili bodaboda, waanze kulipa kodi na kumwaga polisi barabarani kudili nao, wawe na route maalumu na wavae hi vis za rangi kuhusika na route yake ili akikutwa route tofauti wamle kichwa, mpaka wapungue na kupotea hapo mpaka akimaliza muda wake Dar iwe imenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…