Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

Kukonda kwa tembo hakumfikiii swala. Pascal hata kama ni maskini hawezi kufikia wa kwako!
 
Walau hata kwenye tume Kama ya juzi ingemfaa
 
Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Mkuu Meneja Wa Makampuni , kwanza heri ya mwaka mpya!, pili asante kuniombea kwa Mama aniteue nimsaidie chochote kwenye serikali yake. Hii ina maana kubwa sana kwangu, kwa haya ninayoyafanya, kumbe kuna watu humu wana yaona na ku appreciate, hivyo it's a very good encouragement kwangu kuendelea kuyafanya. Asante.

Mtu ukiwa na uwezo wa kuisaidia nchi yako, unaweza kuisaidia pale pale ulipo bila kuhitaji kuteuliwa kwenye nafasi yoyote.
Hiki ndicho nimekuwa nakifanya siku zote na naendelea kufanya.

Naamini bandiko hili uliwahi kuliona, Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!, naomba kukuhakikishia ujumbe huu umemfikia Rais Samia, na anauheshimu.

Mungu Ibariki Tanzania.

P
 
Mwamba! 👊
 
Ukiteuliwa nakutafutia bodigadi mmoja, madanga matatu na machawa wawili.
 
Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Bora mfanye kumuombea Direct maana colum kila siku inampita sio vizuri jamani mnaona kabisa mtu anavyopambana humu JF kuimba mapambio kwa staili yake, lakini mnajifanaya hamuoni

Fanyeni mumpe kawilaya kapata basi da!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…