Rais hamuamini Makamu wake?

  1. Makamu wa Rais mwenyewe alishajisemea huwa anaogopa sana
  2. Chalamila alishatabiri kuwa Makamu wa Rais anaweza kufanya njama kumuua Rais ili yeye awe Rais
 
Mbona hawabadili katiba sasa?

Wanaivunja wasiwasi tu mbona?
 
Understanding
 
[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuidhalilisha TEC....

Yaani mtu akiwa muislam wa Sunni basi nguvu yake "BAKWATA"?!!!

Uzwazwa huu ni wa kutoka tumboni kwa mama yako ?!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pengine yeye akiwa makamu alikuwa msaliti na mwenye husuda kwa hio ndivyo aonavyo yeye. Rais Magufuli alimpa sana Bibi yenu fursa za uwakilishi hata nje ya Nchi. Kama halazimiki acha aendelee kufanya afanyavyo
Kwani mh.Makamu wa Rais Dr.Mpango hatuwakilishi nje ya nchi ?!!! [emoji15][emoji15]

Usiutumie mdomo "kunyeeeerrrr"...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tuoneshe hiyo barua ya uteuzi uisemayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…