Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
...hata kama...Ali sign before hajaondoka[emoji850]
Uteuzi si jambo la kukurupuka.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...hata kama...Ali sign before hajaondoka[emoji850]
Ilikuwa dhihaka...Kuna kipindi aliyekuwa Makamu wa Rais Bilal kazi yake kuu ilikuwa kukata utepe wakashauri awe anatembea na mkasi mfukoni.
Kedi , dhihaka....Kuna ya juzi address ni ya Doha.
Zuia basi asiwape hao wajomba zake......Na sikuwahi kuona Rais akienda na makamu wake huko Dubai kwa wajomba zake anaotaka kuwapa Bandari zetu kwa kisingizio cha uwekezaji.
Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
[emoji2956][emoji2956]Makaimu atakaimu mengine lakini sio uteuzi.
Kama rais mgonjwa au hajiwezi kwa namna yoyote kwa muda mrefu hiyo inaweza kutokea lkn sio hii ya kukaimu uteuzi akiwa safarini.
Mbona hawabadili katiba sasa?Siku hizi kuna technology dinia imekua kijiji popote unaweza akasaini barua na kufanya mawasiliano sio kile kipindi cha 1977 wakati katiba inategenezwa, kazi ya makamu wa raisi siku hizi ni kutembelea ni kuzindua miradi ya serikali kwa niamba ya raisi uko mawolayani.
UnderstandingIbara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Akikujibu plz ni tag[emoji1787]Tutajie Rais yeyote ambaye huwa anaongozana na Makamu wake nje ya nchi
Bado uko kwenye vifungo vya ukabila?!![emoji15]Hao ni wazanzibari hao ni wa bara,
nisaidieni ule usemi wa mwalimu Nyerere
[emoji1787][emoji1787][emoji106]Mzandiki mkubwa wewe, hujawahi kuona au kusikia Makamu akimuwakilisha Rais mikutano ya nje, au ndo ile philosophy ya "ukitaka kumuua mbwa, mpatie jina baya".
Hasidi hana sababu.
[emoji1787][emoji1787]Mzandiki mkubwa wewe, hujawahi kuona au kusikia Makamu akimuwakilisha Rais mikutano ya nje, au ndo ile philosophy ya "ukitaka kumuua mbwa, mpatie jina baya".
Hasidi hana sababu.
[emoji2956][emoji2956]ulichoeleza ni kifungu cha ngap?
akiwa nje ya nchi kwa maana ya mathalani ni mgonjwa asiweza kutekeleza majukumu ya Rais ndipo Makamu anaweza chukua nafasi yake.
Lakini sasa Rais yupo nje kikazi,
yupo timamu,
na ana afya njema
anatekeleza majukumu na kazi zake vizur,
na wajibu wake kwa mujibu wa sheria anamuajiaje asie husika?
Ili avunje sheria right?
Acha kuidhalilisha TEC....Lazima ashtuke coz anajua namna alivokipata kiti hicho!
Halafu ujue mama katengenezewa maadui AMBAO kiuhalisia sio maadui HALAFU waitwaor marafiki au watu wa karibu ndio maadui wakuu!
Ni kama jpm alitengenezewa maadui kama chadema na lisu na Mbowe kumbe maadui ni wale aliowaamini sana tena chawa KABISA!
Samiah hajui yupo ni adui yupo ni chawa yupo ndio mlengwa yeye anafanya tu kile anachoambiwa hajui wa kumwamini!!
Labda anahofu kuwa makam ni chaguo la TEC!
After all Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo sana!!
Kwani mh.Makamu wa Rais Dr.Mpango hatuwakilishi nje ya nchi ?!!! [emoji15][emoji15]Pengine yeye akiwa makamu alikuwa msaliti na mwenye husuda kwa hio ndivyo aonavyo yeye. Rais Magufuli alimpa sana Bibi yenu fursa za uwakilishi hata nje ya Nchi. Kama halazimiki acha aendelee kufanya afanyavyo
Huna kumbukumbu?!!Barua Za uteuzi zinasainiwa Akiwa Doha?
Lini Magufuli alisaini documents Za umma Akiwa nje?
Huyu mama huko nje atasaini kila kitu, hamtaamini!
Katiba ipi unayosema,Anamuamini....
Atafanya pale ambapo Rais hawezi kufanya.....Katiba haijatamka kuwa akiwa nje hawezi KUFANYA....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tuoneshe hiyo barua ya uteuzi uisemayo.Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
View attachment 2770287