Rais hamuamini Makamu wake?

Rais hamuamini Makamu wake?

Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.

Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?

Wajuvi wa protokali ikoje hii.
  1. Makamu wa Rais mwenyewe alishajisemea huwa anaogopa sana
  2. Chalamila alishatabiri kuwa Makamu wa Rais anaweza kufanya njama kumuua Rais ili yeye awe Rais
 
Siku hizi kuna technology dinia imekua kijiji popote unaweza akasaini barua na kufanya mawasiliano sio kile kipindi cha 1977 wakati katiba inategenezwa, kazi ya makamu wa raisi siku hizi ni kutembelea ni kuzindua miradi ya serikali kwa niamba ya raisi uko mawolayani.
Mbona hawabadili katiba sasa?

Wanaivunja wasiwasi tu mbona?
 
Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.

Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?

Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Understanding
 
ulichoeleza ni kifungu cha ngap?

akiwa nje ya nchi kwa maana ya mathalani ni mgonjwa asiweza kutekeleza majukumu ya Rais ndipo Makamu anaweza chukua nafasi yake.

Lakini sasa Rais yupo nje kikazi,
yupo timamu,
na ana afya njema
anatekeleza majukumu na kazi zake vizur,
na wajibu wake kwa mujibu wa sheria anamuajiaje asie husika?
Ili avunje sheria right?
[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Lazima ashtuke coz anajua namna alivokipata kiti hicho!

Halafu ujue mama katengenezewa maadui AMBAO kiuhalisia sio maadui HALAFU waitwaor marafiki au watu wa karibu ndio maadui wakuu!

Ni kama jpm alitengenezewa maadui kama chadema na lisu na Mbowe kumbe maadui ni wale aliowaamini sana tena chawa KABISA!

Samiah hajui yupo ni adui yupo ni chawa yupo ndio mlengwa yeye anafanya tu kile anachoambiwa hajui wa kumwamini!!

Labda anahofu kuwa makam ni chaguo la TEC!

After all Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo sana!!
Acha kuidhalilisha TEC....

Yaani mtu akiwa muislam wa Sunni basi nguvu yake "BAKWATA"?!!!

Uzwazwa huu ni wa kutoka tumboni kwa mama yako ?!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pengine yeye akiwa makamu alikuwa msaliti na mwenye husuda kwa hio ndivyo aonavyo yeye. Rais Magufuli alimpa sana Bibi yenu fursa za uwakilishi hata nje ya Nchi. Kama halazimiki acha aendelee kufanya afanyavyo
Kwani mh.Makamu wa Rais Dr.Mpango hatuwakilishi nje ya nchi ?!!! [emoji15][emoji15]

Usiutumie mdomo "kunyeeeerrrr"...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Anamuamini....

Atafanya pale ambapo Rais hawezi kufanya.....Katiba haijatamka kuwa akiwa nje hawezi KUFANYA....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Katiba ipi unayosema,

759ACD39-C0E6-4C26-873A-3922608BB22C.jpeg
 
Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.

Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?

Wajuvi wa protokali ikoje hii.

View attachment 2770287
Tuoneshe hiyo barua ya uteuzi uisemayo.
 
Back
Top Bottom